Kama hakugoma si angekuwa ameshajiuzulu?
Mshamba ni wewe, serikali yenyewe inahitaji internet.Kwani ni mara ngapi internet imefungwa? Au ndugu yetu wewe ni mshamba?
So what? Hata mimi kazi zangu naziwalisha kwa Bosi wangu kwa internet. But, internet is not life. Inaweza ikafungwa miaka milioni na maisha yakaenda!Mshamba ni wewe, serikali yenyewe inahitaji internet.
Teknohama bila internet inakwendaje? Unajuwa kama mahakama sasa hivi majaji wanaendesha kesi kwa internet submission na hearing?
Post hii👆🏾iko juu juu sana, sababu ni habari ipi/zipi mpaka kupelekea kufungiwa?Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo ni kuwa Gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa miezi 6.
Waliomtaka kujiuzulu sio lazima wawe CCM. Wapo watu wengi ambao publicly wamemtaka ajiuzulu kama njia ya kuonesha kwamba ana fundamental disagreement na viongozi wakuu wenzake juu ya uendeshaji wa Serikali.Tatizo iyo taarifa imetokea wapi yakumtaka kujiuzulu‼️‼️
hakukuwa na wito kumtaka kujiuzulu au kupitishwa maamuzi ya kumtaka kujiuzulu
Sasa ilo Gazeti Mwanahalisi limeshindwa kujibu
iyo taarifa wameitoa wapi✍️
Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo ni kuwa Gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa miezi 6.
Who told you?So what? Hata mimi kazi zangu naziwalisha kwa Bosi wangu kwa internet. But, internet is not life. Inaweza ikafungwa miaka milioni na maisha yakaenda!
Kaka Pascal with due respect, wewe ni mwandishi mzuri wa habari tena za uchunguzi kwa hiyo sitegemei uamini kuwa vyanzo vya habari ni kupitia taarifa maalum. Kwa hiyo ikitokea ajali ukaona maiti 17 na wenye mamlaka wakasema waliokufa ni 4 tu utaandika kipi?Yes, ila Nchimbi ni Yuda Tadei sio Yuda Iskariote.
Mkuu Para,@parabolic, asante kwa taarifa hii6, masikini rafiki yangu Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi, anakwenda kufungiwa tena kwa kuripoti habari za uongo na uzushi wa kulisha watu maneno!.
Kwa kawaida ya vikao vya CCM,baada ya kikao,Mwenezi hutoa taarifa ya kikao, na uamuzi wa mtu kuitwa kamati ya maadili, hutolewa taarifa. Kwa vile mpaka sasa hakuna taarifa yoyote rasmi kutoka CCM, mtu kufikishwa maadili, hii maana yake taarifa hii ni taarifa ya umbea na uzishi.
P
Msingi mkuu wa fani yetu ni tell nothing but the truth, kwa mujibu wa Media professional ethics, hata ukiona miili 17, utasema nimeona miili 17, ila waliothibishwa kufa ni watu 4. Mamlaka ya kuthibitisha kifo ni polisi na daktari na sio jicho la mwandishi!.Kaka Pascal with due respect, wewe ni mwandishi mzuri wa habari tena za uchunguzi kwa hiyo sitegemei uamini kuwa vyanzo vya habari ni kupitia taarifa maalum. Kwa hiyo ikitokea ajali ukaona maiti 17 na wenye mamlaka wakasema waliokufa ni 4 tu utaandika kipi?