raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Yaani wateja hawaruhusiwi kuweka akiba kwako pindi wanapo chukua mkopoHapo kwenye amana naomba Ufafanuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wateja hawaruhusiwi kuweka akiba kwako pindi wanapo chukua mkopoHapo kwenye amana naomba Ufafanuzi.
mkuu hakuna leseni ya mikopo midogo midogo , Kuna leseni yakukopesha ambayo generally nakupa breakdown ya face cost , ambayoninaweza kuwa zaid au chini ya lakini ni around hapo , na hapo jua nimeinclude service charges
1. brela registration
business name 50k
company 550k
2. tra /tax clearance 300k-500k
3. bot permit 1.2m-1.5m
4. brela , leseni yenye sura ya kitaifa hii 600k
ko hapo mkuu ukiangalia kwa kigezo cHa 20m capital almost 15%-20% ya huo mtaji utaitumia kwa registration issues na office
I stand to be corrected
nomeoverstate mkuu au nimepunguza??Mkuu hizi figures sidhani kama ziko sahihii.
Nilazima pia uwe na mabaunsa wa kufuatilia wadeni wako🤣🤣🤣🤣🤣🪑Hiyo siyo mikopo midogo midogo bhana! Huku mtaani tunaiita mikopo ya kausha damu. Na ukifanikiwa kusajili, basi utambue fika mbinguni huendi.
Maana ili ufanikiwe kurudisha hela yako pamoja na faida, basi utatakiwa kuwa na uso wa mbuzi, mbabe, mkatili, na mtu usiyecheka na nyani.
Ukienda BOT lazima uwe na mtaji usiopungua m20. Tena zisiwe ela za mkopo. Kama huna bora kuishia halmashauri tu wanatoa vibalimkuu hakuna leseni ya mikopo midogo midogo , Kuna leseni yakukopesha ambayo generally nakupa breakdown ya face cost , ambayoninaweza kuwa zaid au chini ya lakini ni around hapo , na hapo jua nimeinclude service charges
1. brela registration
business name 50k
company 550k
2. tra /tax clearance 300k-500k
3. bot permit 1.2m-1.5m
4. brela , leseni yenye sura ya kitaifa hii 600k
ko hapo mkuu ukiangalia kwa kigezo cHa 20m capital almost 15%-20% ya huo mtaji utaitumia kwa registration issues na office
I stand to be corrected