Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

Nitafute naamini kuna mengi utajifunza , mimi nilishaifanya hii biashara pia ni nilifanya kwenye microfinance na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5,
Nifafute tuongee na kushauriana kadri nitakavyojaaliwa 0624848004
 

Mkuu hizi figures sidhani kama ziko sahihii.
 
Nilazima pia uwe na mabaunsa wa kufuatilia wadeni wako🤣🤣🤣🤣🤣🪑
 
Round cost ushapewa. Kama money in the bank, usisite, nenda pale BOT sio polisi wala jehanamu, utapewa elimu zaidi ya hii. Ili ufanye kazi. Kazi nzuri hiyo kapambane. Mimi ndio private bussiness yangu. Nenda kale elimu pale.
 
Ukienda BOT lazima uwe na mtaji usiopungua m20. Tena zisiwe ela za mkopo. Kama huna bora kuishia halmashauri tu wanatoa vibali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…