Leseni ya ukandarasi wa umeme.

Leseni ya ukandarasi wa umeme.

T999ZZZ

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
107
Reaction score
33
poleni na kazi,
ninaomba msaada kwa wanaojua, kampuni yangu imekekuwa ikifanya kazi za umeme za kawaida namshukuru mungu mwendo si mbaya nimekuwa kwa kiasi fulani, sasa kwa kuwa nimekuwa nahitaji kuwa nq leseni ya ya ukandarasi ili niweze kuomba kazi kubwa,
wandugu naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom