Leseni za dhahabu

Leseni za dhahabu

dalbega

Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
99
Reaction score
32
Hi wanaJF.

Nina leseni mbili za uchimbaji mdogo (primary mining licence) kwa ajili kuchimba dhahabu Magambazi wilaya ya Handeni, kwenye eneo la hekta 10. Kama kuna mtu ana interest tuwasiliane ili tuingie ubia. KARIBUNI
 
Back
Top Bottom