Dseni Member Joined Aug 13, 2012 Posts 38 Reaction score 46 Nov 8, 2018 #1 Naomba kwa anayejua atusaidie; je leseni daraja D unaweza kuendesha gari iliyobeba watu 12? Naomba na maelezo ya kisheria kwa msaada zaidi please
Naomba kwa anayejua atusaidie; je leseni daraja D unaweza kuendesha gari iliyobeba watu 12? Naomba na maelezo ya kisheria kwa msaada zaidi please
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,166 Reaction score 13,514 Nov 8, 2018 #2 Inategemea ni gari gani,kama ni noah yenu halafu wanafamilia mkapakatana wote humo ndani kwa kuminyana ni sawa hakuna tatizo lolote.
Inategemea ni gari gani,kama ni noah yenu halafu wanafamilia mkapakatana wote humo ndani kwa kuminyana ni sawa hakuna tatizo lolote.