Leseni za Walimu ni jambo jema sana lakini mjadala kuhusu Bodi ya kitaaluma ya Walimu usiwekwe pembeni

Leseni za Walimu ni jambo jema sana lakini mjadala kuhusu Bodi ya kitaaluma ya Walimu usiwekwe pembeni

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
5,628
Reaction score
6,411
Ipo kila sababu ya kuufufua mjadala wa Bodi ya kitaaluma ya Walimu kuliko Ili kupata nguvu ya mjadala wa leseni. Kitaaluma leseni za ualimu sharti ziukiliwe na chombo ambacho ni Bodi.

Kujadili leseni za Kitaaluma bila kujadili bodi husika ya kitaaluma ni sawa na kujadili upande mmoja wa shilingi ileile. Kwa kuwa chombo hiki kilisharatibiwa ni muhimu sasa kuwekwa sawa kwanza Ili kuanza kazi. Leseni ni matokeo ya Bodi hii kuwepo.

Mjadala wa kujadili leseni ni sawa na mjadala wa kujadili matokeo peke yake na kuacha mjadala wa mchakato wa matokeo.

Soma Wahitimu wa ualimu kuongezewa mwaka mmoja wa 'Intern' kabla ya kupata leseni ya kufundisha rasmi, kama ilivyo kwa madaktari
 
Back
Top Bottom