Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Zitauzwa Robo beiKwahyo Lesotho akishinda Beer hazitauzwa nusu bei?
Labda Sare ya kigodoro kama sio maderaAcha ramli! Lesotho atatoa sare huko ugenini.
Sheria inayotumika sio ya tofauti ya magoli linapokuja suala la kuamua nyie wawili mliofungana point. Wanaangalia mlivyokutana ktk kundi lenu matokeo yaliendaje. Ingekuwa walidroo zote mbili, wangeangalia nani alifunga magoli mengi kwao. Kama wangefungana hapo wanheluja kuangalia vitu vingine.Lakini mbona Pointi zao na zetu ziko sawa!
Haya mambo ya zima Moto ni mzoea ya CCM wakiongozwa na BashiteSio goal difference bali head to head meatings.
Tumedroo nao hapa wakatuchapa kwao. Ukilinganisha wao wana point nne kati ya sita siai tuna moja kati ya sita.
Hawa watu wa hamasa sijui walikuwaga wapi enzi hizo. Hii mechi na lesotho ni kama haikuchezwa maana ilipooza kwa sababu haikutangazwa. Madhara ya kukumbuka shuka asubuhi tutang'atwa tu na mbu usiku.
5 ni match played kwa kila timuLakini mbona Pointi zao na zetu ziko sawa!
Uzuri kidogo ni hata cape verde anaweza pita kama atashinda na sisi kukosa point tatu. Hivyo cape verde watapambana wakiwa kwao na kumuomba uganda msaada. Hivyo tuna chansi bado maana leaotho licha ya kudroo nasi ila ndio UNDERDOGS wa kundi.Sasa nimeelewa.
Ukiachana na goal difference pia head to head Lesotho vs Tanzania, Lesotho wametufunga so ni ombi tu kwa kamati hiyo ya hamasa pia wawaambie watu kwamba zamu yetu na Dua lisomwe Cape Verde ashinde laasivyo itakuwa zamu yaoTatizo ni goal difference hapo ndo itaifanya taifa start iyaage mashindano
BC viongoz wetu wanashida sana ,mipango zero kabsaSio goal difference bali head to head meatings.
Tumedroo nao hapa wakatuchapa kwao. Ukilinganisha wao wana point nne kati ya sita siai tuna moja kati ya sita.
Hawa watu wa hamasa sijui walikuwaga wapi enzi hizo. Hii mechi na lesotho ni kama haikuchezwa maana ilipooza kwa sababu haikutangazwa. Madhara ya kukumbuka shuka asubuhi tutang'atwa tu na mbu usiku.
Hamasa nzuri ni kusema kwamba sisi tufunge halafu tuone Lesotho nao kama watafungwa. Maana yake Mbumbumbu kama mimi kesho tukishinda na Lesotho wakishinda na sisi ikaonekana hatusongi mbele, kuna watu wataona kwamba wamedanganywa!!BC viongoz wetu wanashida sana ,mipango zero kabsa
Sio kwa cape verde tena kwao cape verde.Lesotho kesho anashinda..
Lesotho wana nafasi pia..Sio kwa cape verde tena kwao cape verde.
Kungekuwa na nia na hamasa toka mwanzo jumapili yungekuwa tunakamilisha ratiba. Tungekuwa tymemaliza shughuli kitambo.Kwa maelezo ya barafuyamoto kuna jambo tunafichwa. Nadhani wanataka isemwe kuwa "tumepambana kiume" hata kama tumetolewa. Walikuwa wapi wakati ule hadi leo wawafanye watu waamini kama mechi yetu na Uganda ndiyo itakayoamua hatima yetu?
Wewe ni Yanga enhe???maana Yanga ndio mnaenjoy sana kushangilia wageni