Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Na stars ya Bashite labda itasonga ugali wa mihogoLesotho labda ashinde njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na stars ya Bashite labda itasonga ugali wa mihogoLesotho labda ashinde njaa
point hapo haziko sawa TZ 5 Lesotho 5 Capeverde 4 UG zaidi ya 10Lakini mbona Pointi zao na zetu ziko sawa!
Kinachojadiliwa umekisoma?point hapo haziko sawa TZ 5 Lesotho 5 Capeverde 4 UG zaidi ya 10
Katafute mashoga wenzako. Mimi situmii. Dalili ni jina binti Wanjiku sijui Wanjiru.Kesho saa mbili usiku nitakupakata huku nakunywesha bia kwa hela zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia lakini nimeona imekaa kitaalamu mno, hebu nifafanulie nielewe. Maana nimeangalia nimeona kama sote tuna Poinnt tano tano. Maana hiyo wakishinda wote watakuwa na Pointi nane nane. Tatizo liko wapi?
Wewe Lokole kamtafute delicious mpange kesho mtatafunwa na Mchezaji ganiKatafute mashoga wenzako. Mimi situmii. Dalili ni jina binti Wanjiku sijui Wanjiru.
Anti Wanjiru.
Inapotokea timu kulingana pointsNimeangalia lakini nimeona imekaa kitaalamu mno, hebu nifafanulie nielewe. Maana nimeangalia nimeona kama sote tuna Poinnt tano tano. Maana hiyo wakishinda wote watakuwa na Pointi nane nane. Tatizo liko wapi?