Less than 25 months to go.

Less than 25 months to go.

Komaa wacha kuyumba kama bata, unaweka taarifa za kupotosha halafu ukirekebishwa unafoka. Ndio reli ikamilike mtapewa mkopo wacha kudanganya watu eti donor, mjengewe reli yote na donor??? Halafu tumepiga mahesabu na kulinganisha na yetu kiutaalam aisei reli yenu ni ghali sana mtailipia kwa pua. Nashukuru sana Wakenya kwa kuwa makini wakati wa mahesabu, hamna cha kukenua meno mnanuniana mpaka hesabu zikae.
Ahhaa hahaa na bado,hatulipi kitu coz ni hela zetu sema faida tunaweka sehemu nyngne,all the mega projects in Bongo they are speedin,expansion ya airport Dar is almost there,you know what does that mean? that is going to be be the biggest thing in region bado sijaongelea 1GW solar and wind farm ambayo iko final stage ya survey,mimi ningekuwa wewe ningetafuta bibi wa kibongo ili kupata all the papers ili wakianza kuwa wanagawa hela kwa watz kila mwezi niwe kwny payrll.
 
ooh..sikujua iyo but one thing for sure before hii iishe mtapewa mkopo.subiri tu
Hamna mkuu tumeshaamua kusimamia wenyewe,nia tunayo,nguvu tunayo na uwezo tunao,tulikua hatuna teknoloji pekee ila inshalaa labda phase 3 ya Kenya mtatumia wataalam wetu maana tutakuwa tuko well equiped
 
Let's forget about the miniature sgr,here is the real shit,counting down,less than 25 mnths to go.
Hybrid that goes up to 160 kph,with that only, makes it fastest terrestrial thing to ever been used in the great lakes region.
View attachment 504101
It's more like 130+ months to go. Remember how long it took to complete the Dar BRT?
There are no schedules or deadlines in Bongoland.
 
Hohoho,wakati bongolala na Dar is slum is clearing land,the super nation,nchi ya wajanja inangurumisha mitambo yake ya reli kwa sasa......nyuma mtakuwa kamwe.......
 
Hehehee.... Aaaw... wow I can't wait to board the Danganyikan electric train... I am told it will be better than Japanese one. Great guys way to go.
Hehehee.... Aaaw... wow I can't wait to board the Danganyikan electric train... I am told it will be better than Japanese one. Great guys way to go.
😀
 
Back
Top Bottom