AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,102
Mkiambiwa hawamaanishi alafu wanachosha...msipoambiwa ohhhh hatupendwi!Wanawake bana.....hatuna jema!
Lizzy kila kitu too much is harmful, sio mbaya akwambie siku moja moja.... Personally i cant stand mtu ambae ananisifia kila saa inanifanya nijisikie embarrased. Lizzy unataka kuniambia unaweza penda uambiwe 3 times a day kila siku ?