Mkiambiwa hawamaanishi alafu wanachosha...msipoambiwa ohhhh hatupendwi!Wanawake bana.....hatuna jema!
hahahah...wala sijakuchokoza my dear...think..(nani kakuboa tena)
Lizzy, nime edit kuweka msisitizo tu,,,
Sio kila kitu bwana....kuna excepsheni!Sema tatizo labda ni ule usemaji ndo unaweza kukuchosha maana unaishia kuzoea!Let say kaamka kabla yako akakuachia kanote pembeni ya kitanda asubuhi...mchana akakujulia hali kwa simu na story za hapa kwa hapa alafu akakuaga na nakupenda desh desh....usiku wakati mnalala akakukiss goodnite huku akitamka i love you kwa kunong ona kabla hajapotelea zake usingizini je utaboreka na NAKUPENDA yake ya siku hiyo???Sio rutine ya kila siku lakini!!!Lizzy kila kitu too much is harmful, sio mbaya akwambie siku moja moja.... Personally i cant stand mtu ambae ananisifia kila saa inanifanya nijisikie embarrased. Lizzy unataka kuniambia unaweza penda uambiwe 3 times a day kila siku ?
Lizzy kila kitu too much is harmful, sio mbaya akwambie siku moja moja.... Personally i cant stand mtu ambae ananisifia kila saa inanifanya nijisikie embarrased. Lizzy unataka kuniambia unaweza penda uambiwe 3 times a day kila siku ?
lSio kila kitu bwana....kuna excepsheni!Sema tatizo labda ni ule usemaji ndo unaweza kukuchosha maana unaishia kuzoea!Let say kaamka kabla yako akakuachia kanote pembeni ya kitanda asubuhi...mchana akakujulia hali kwa simu na story za hapa kwa hapa alafu akakuaga na nakupenda desh desh....usiku wakati mnalala akakukiss goodnite huku akitamka i love you kwa kunong ‘ona kabla hajapotelea zake usingizini je utaboreka na NAKUPENDA yake ya siku hiyo???Sio rutine ya kila siku lakini!!!
Akikusifia just enjoy it bwana!Ni kazi yake kukuadmire kabla hata hujakodolewa macho na wa nje!
Usichoke kutoa sifa Asha; usipomsifu wewe ataja pata wa kumsifu akusahau. Mimi nasifia tu hata kinafiki.
utoto mtupu mie cna muda wa kuzijibu naona ni sound tu
Kumi kwa mwaka????Miezi miwili yote humwambii.....usiwe mchoyo bwana!Sifa natoa saana NK maana ni mengi anastahili kusifiwa, ila zinakua za kiutu uzima ... when I say I love you nasema in a way hata yeye hana doubt kua ni kweli... na hio ni kama mara 10 kwa mwaka....
Kumi kwa mwaka????Miezi miwili yote humwambii.....usiwe mchoyo bwana!
Sifa natoa saana NK maana ni mengi anastahili kusifiwa, ila zinakua za kiutu uzima ... when I say I love you nasema in a way hata yeye hana doubt kua ni kweli... na hio ni kama mara 10 kwa mwaka....
Hahaha Kaizer mbona unanichokoza???Leo niko kipole zaidi bana...kwanza kuna mtu kaniboa ila najitolea kukaa kimya!!
There was a guy who was so tired of reading his girlfriend's message....
because there are always i love, i miss you or have you eaten your meals?
One night while lying in bed, he received a text message from her....
he didn't read it, instead he went to sleep.
In the morning, he was woke by a call from his gf's mom....
she was crying while telling him that his girlfirend was killed that night she texted him.
He remembered the message and he read it... "honey pls c0m &help me, sum1 s following me...pls"
True....maneno bila matendo hayana maana ila matendo bila maneno yanaweza kua kila kitu!!Nisiseme kujisafisha, kweli simwambii kiasi hicho, na naamini anajua kabisa kua roho yangu inadundia pake.... Najua mwenyewe ni jinsi gani ya kumuonesha nampenda kila siku.... Konesha mapenzi ya kweli haiitaji maneno meengi - mimi my great strength ni vitendo nimfanyiavyo.... Hivyo hata ampate wa kumwambia kila siku sitishiki, najua actions speak louder than words....
Sipiyu???
Mie msg za Love u mara micng u huwa zinanikifu mno. Mie huwa nasoma halafu sijibu
Kafanya nini???
Wala....ila kaniringia kuniambia sijui kitu gani kile!Kakuboa
True....maneno bila matendo hayana maana ila matendo bila maneno yanaweza kua kila kitu!!