Usichoke kutoa sifa Asha; usipomsifu wewe ataja pata wa kumsifu akusahau. Mimi nasifia tu hata kinafiki.
Thread yako nzuri saana, inasikitisha but kufundisha... Na ni kweli message za I love you kila saa inakua sawa na msg ya ku foward, maneno mazuri but unahisi mtumaji wala hata hamaanishi anatimiza tu wajibu....

Mie msg za Love u mara micng u huwa zinanikifu mno. Mie huwa nasoma halafu sijibu
asante mkuu kama umejifunza na hilo pia..Mi umenifundisha zaidi ya hapa! Unajua kivipi???
Sredi yako niliiona kitambo tu, nikawa napuuzia tu (Nimezoea kuona sredi nyingi za watu ambao nawaona ni wageni hapa MMU zinakuwa kama wanajifunza uhusiano), na hata nilivyoifungua sikuisoma thread kuu, nikawa nasoma replies za members. Nilipoona reply za watu wanasikitika ndo niaamua nirudi sredi kuu.
Sifanyi tena hivi
Ur right. Za kufoward nikigundua tu hata kama ni za happy easter huwa simalizii kusoma. Maana huwa naona hata yeye haijui sms yake.
There was a guy who was so tired of reading his girlfriend's message....
because there are always i love, i miss you or have you eaten your meals?
One night while lying in bed, he received a text message from her....
he didn't read it, instead he went to sleep.
In the morning, he was woke by a call from his gf's mom....
she was crying while telling him that his girlfirend was killed that night she texted him.
He remembered the message and he read it... "honey pls c0m &help me, sum1 s following me...pls"
[/COLOR]
Da! inasikitisha sana, R I P marehemu,
Kuanzia sasa hivi ntajitahidi kusoma msg kila inapoingia,
Japo msg za matangazo ya cm ni karaha tupu zimechangia sana nipuuzie kila msg inapoingia nisiifuatile...
Inaniboa hio..... Some time you wish uhame mtandao but huna ujanja....
So sad! RIP beautiful innocent girl jamani njemba haikujua au ndo ubusy.
Thread yako nzuri saana, inasikitisha but kufundisha... Na ni kweli message za I love you kila saa inakua sawa na msg ya ku foward, maneno mazuri but unahisi mtumaji wala hata hamaanishi anatimiza tu wajibu....
Umeona Asha D,
Mwanzo nilidhani labda ni mtandao niliyopo tu, lakin kumbe ni kila mtandao,
kila muda unasikia msg ukifungua tangazo....aaah mi inaniboa sana,
lakin kupitia hii thread ya kusikitisha ya leo LAZIMA nibadilike niwe nasoma msg...
Umeona heee!!!!!
Mkiambiwa hawamaanishi alafu wanachosha...msipoambiwa ohhhh hatupendwi!Wanawake bana.....hatuna jema!
Dena kinachonishangaza mie ni kuwa how can you regard someone as your mpenzi and then uignore sms yake??...................Mie msg za Love u mara micng u huwa zinanikifu mno. Mie huwa nasoma halafu sijibu