nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Haya mambo yamemkuta mama yetu na sisi tukasema labda tusiwe 21st century ladies; we wont go through what our mother was experiencing back then.
Ila ukishatambua kuwa watoto wamekuwa victims ni rahisi kuji controll.
Ilifika kipindi tulikuwa tunamchukia kabisa mama; tofauti na baba alikuwa very loving and friendly. Hajawahi hata kutupiga kibao. Sasa alikuwa ana mfrustrate mama; mama hasira anamalizia kwetu na kuonekana mbaya kwa watoto.
Cha hajabu ni kuwa baba yetu hakuwa violent lakini mama anadai eti ni heri kuwa na mume anayepiga kuliko baba yetu; eti ana gubu plus cheating.

usinikumbushe rafiki nilishapitia hiyo hali na mnyonge wangu alikuwa mwanangu nilikuwa nampiga hasa can u imagine a son of 3 yrs amekataa kunywa dawa unamtandika viboko vya haja sitaki kukumbuka jamani nani kaleta hii post ya machungu namna hii