joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Punguza hasira sisi ni watani wa jadiMtu akae kwao, sisi kama wakenya tunataka trade ikue zero, na kila kitu abacho kinacho husiana na Tanzania kiishe alafu mwambie uyo dikteta ajenge ukuta kutoka namanga hadi lake Victoria muone kama maisha itaendelea juu hatuna uhusiano na Tanzania.