Mtu akae kwao, sisi kama wakenya tunataka trade ikue zero, na kila kitu abacho kinacho husiana na Tanzania kiishe alafu mwambie uyo dikteta ajenge ukuta kutoka namanga hadi lake Victoria muone kama maisha itaendelea juu hatuna uhusiano na Tanzania.
Acha ujinga, muulize Uhuru Kenyatta aliyetuma CS wa Afya kuja kuomba doctors wakati mnakufa kwa mamia kipindi cha mgomo wa madaktari, sasa wewe unatuuloza sisi, mbona huulizi pale mnapokuja kuomba chakula? Kenya ranked as 'failed state'