Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Move nziri niliitazama mara 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nikusahihishe kidogo kuhusu hyo movie LET IT SHINES.FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI.
LET IT SHINE (2012)
Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones.
Nilianza kumfahamu Tyler kwenye EVERYBODY HATES CHRISS na kufurahia uhusika wake.
Uchambuzi huu unamwangazia zaidi yeye kwa sababu ndiye mhusika aliyepewa jukumu linalonivutia zaidi kuliko wahusika wengine wote; uandishi wa nyimbo, uwezo mkubwa wa kurap, uwezo wa kufanya mitindo huru na uwezo wa kutengeneza midundo na kutayarisha nyimbo.
Nikitoa POETIC JUSTICE, 8 MILES, na GIRLFRIEND, hii ndiyo filamu bora kabisa kwangu inayoangazia muziki na panda- shuka zake.
Tyler ANATOA shavu kubwa sana kwa mwanaye tozi ambaye kazimikiwa na mchuchu kutokana na kisura chake "cha kike"
Ukitoa dhamira kubwa ya muziki na dini, filamu hii inafunza subira na umuhimu wa urafiki wa dhati.
Unafurahia kipande gani humu ndani??
Umeitazama mara ngapi??
View attachment 2701576View attachment 2701577
View attachment 2701578
Coco Jones ni mrembo sanaFILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI.

Ile pis ni moto sana af imezaliwa 1998Coco Jones ni mrembo sana