Let it shine: Movie ninayoweza kuitazama hata mara kumi

Mkuu nikusahihishe kidogo kuhusu hyo movie LET IT SHINES.

Huyo mwamba mtoto wa mchungaji Ni RAPPER anaflow vizuri Sana,,
Kuna siku dogo yupo kwenye studio moja anafanya mazoezi ya RAP.


Demu mmoja mkali anasikia SAUTI YA MTU ANAIMBA,,anaingia ndani kuona ni nani anaimba kiasi kile.

Kumbe kule ndani yupo huyo mtoto wa mchungaji na friend wake ambao wote kwa pamoja wanamzimikia huyo demu.,

Baada ya demu kuingia ndani mle akanitojeza Yule mwamba mwingine ambaye ndy very handsome akajieleza kwamba ndy yeye aliyekuwa RAPPER ,,
wakawa friends but no sex.

Dogo anapata shavu la kupaform ktk matamasha mbalimbali lakini kwa msaada wa Yule mtoto wa mchungaji..
Means Yule dogo akawa anaimba nyimbo za Yule mtoto wa mchungaji na sio zake.

Mwishowe demu anakuja kugunduwa kuwa mwenye sauti ile aliyoisikia siku ya kwnza Ni yule mtoto wa mchungaji na sio yule dogo handsome boy...

Demu anasema ,,

"I fall in love with your voice not your look."

Mtoto wa mchungaji anashinda game anachukuwa mtoto mzr.
 
Pindi niko chuo nilikuwa naipenda sana hii movie Kuna kipind ilifika yule dogo handsome akapata umaarufu had akawa anamdharau mshikaji wake anayemtengenezea nyimbo nakumfanya kuwa star Kuna siku Tyler James Williams alimkuta jamaa yake yuko club navidem akamtolea uvivu vurugu likawa kubwa had mzee mmoja akawaamua
 
Coco Jones ni mrembo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…