Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Yes yes. MRNA inaharibu kabisa DNA yako maana ili DNA iongezeke inajibadilisha kuwa RNA
 
Usiishie hapo,because you will be wrong.Do your own reaserch about vaccines and I believe you can,utapata taarifa ambazo zitakusaidia kutenganisha mchele na chuya.Usitegemee narrative ambayo ndiyo tuliyoizoea,kwamba vaccines are good.Sijui kama umeshawahi kusikia concept ya "problem reaction solution" au "thesis anti-synthesis and antisynthesis."
 
Unajua vaccines are designed to be weakened pathogens. Sasa ukiwa unaweakening unaeza ukajikuta unastrengthen au ukabadili mbinu za huyo pathogen. Ukatengeneza new trains Ambazo zaweza kuwa dangerous zaid.

Sasa hawa wa corona hatuwaamin kabisa. Maana kuna vita za kichini chini.
 
Umechanganya sana madawa mkuu.Anyway ni bora mtu ukafanya your own research ili uone kama uliyoambiwa au kufundishwa ni kweli, usikubali kila unaloambiwa au kufundishwa.

Tumeingizwa mkenge sana mashuleni na vyuoni.
 
Tafuta taarifa sahihi mkuu,huna taarifa sahihi. Usikubali taarifa za NGOs na International organizations, they are faked to appease their masters.

Kwa mfano tafuta taarifa scientific kuhusu ubaya wa computer, simu, vaccines, the internet, on the shelf foods nk. nk.Hii itakusaidia kujuà kipi ni kizuri kwako na kwa wanao.

Usitegemee taarifa kutoka kwenye mainstream media, most of it is fake.
 
Kama nisiwaamini hawa nimwamini nani? kiongozi mkuu wa nchi? mimi sio mwana science niende kusoma wapi?

Huamini chanjo za Polio, Smallpox, measles au tetenus wakati imekuwa prove haya magonjwa yamethibitiwa yametesa sana watu miaka ya nyuma. Kila unachosoma wanasema chanjo duniani imekuwa na faida kubwa kuliko hasara zake.

Hizi chanjo zinapitia.kiongozi wetu anasema wanataka kutuibia sisi matajiri wakati chanjo zimeanza hata Tanzania hawaijui kane ya 17 huko na waliitawala kabla ya Tanzania na kama hizo shutuma za kutokuzaa basi wangetuchoma wakati ule watu bado wajinga na tusingezaa ila waje leo kwa lipi kubwa huo utajiri ni upi huo.

chini hii watu wana data sasa mwenye data zingine aje nazo kuwa population yetu ilikuwa inakuwa hivi ila baada ya chanjo tumeshuka hivi maana ndio tunawaza kutwa hawataki tuzae hiyo ndio imekuwa namna ya kutisha watu. watu sio wajinga tena.

 
Mkuu unaelekea kwamba una juhudi sana kupata ukweli but you might have the wrong information kwa sababu zifuatazo:

1.The NWO pays scientists and journals to publish fake information to suit their agenda.

2.They even own fake journals which publish fake scientific information for advancing their agenda as in 1 above.

3.Kwenye Drug companies ndio usiamini kabisa,wao wanafanya utafiti wenyewe na wanapitisha results wenyewe,no peer reviewing na drug administrations zinapitisha tu dawa kwamba they are okay.

Issue ya Covid vaccine ni a good example.A bioweapon inaitwa vaccine ulishaona wapi.Vaccines take more than six years to develop,ili research na safety iwe ascertained,hii miezi 9, ulishaona wapi.

Halafu drug administrations zipo na ziko kimya.These people are crooks,do not believe them.

4.Pia usiamini NGOs na the mainstream media,hawa sana sana they save their masters ambao again ni the same people,the NWO.

Do not even believe the UN and any affiliate of the UN at whatever capacity,the IMFor the WB,they are all tools of the NWO.Kwa ufupi ni kwamba we have a very narrow window of getting truth,so extreme care is required.
 
Mimi naheshimu maamuzi yako binafsi na hapa unakuja kila mtu anasikiliza anachoamini ni kama news channel una switch tu zile zenye agenda unazokubali kama Mr Trump yeye alikuwa wasiokubaliana naye ni fake. Mimi sina sababu ya kutia shaka sababu 90% nachosoma kina support chanjo ila kuna watu hawaamini kwa sababu zao na hilo sio shida.

Nimesoma kwanini chanjo ya corona imekuwa haraka, ziko sababu nyingi corona sio kitu kipya kuna tafiti zilianza miaka 50 kuhusu virus na hii ni jamii ya SAR kwa hiyo hawakuanza from zero baada ya funds kupewa na nchi tajiri na kushare info kwa wana taaluma ikawa rahisi pakuanzia ila kuna data zilikuwepo tayari haikuwa kitu kipya.

Mimi sitaki kusema wewe uko wrong au mimi. tusubiri matokeo ya chanjo kwa maana baada ya watu wengi kupata halafu tukasikia wagonjwa wamepungua sana na sio issue kubwa tena basi hatuna busi kuheshimu maamuzi yao ikitokea kinyume waliopinga tutawaheshimu kuwa walikuwa sawa, hii itakuwa based on facts sio opinion.

WHO wameshasema leo hii itakuwa kama kuwa na yellow fever card vaccination hutaki hakuna wakukupokea ndio tunakoenda huku very soon. Tanzania sio kisiwa tukianza vita ya wao vs sisi basi mwisho wetu mbaya na kudhalilishwa.
 
New world order agenda ndo kwanza mikakati inaanza itafika mahali hutaweza kusafiri kwenda nchi nyingine bila hiyo sindano ya chanjo. Nchi zote zitakazo kataa chanjo zitawekewa vikwazo vyote ikiwamo vya kiuchumi na kijeshi. Ikitokea umesafiri kwenda nchi ingine ukiingia cha kwanza pale airport unagongwa sindano.

Lengo lao ni kubadilisha DNA za wanadamu wasiweze kufikiri wala kujitambua au kuwa spiritual consciousness watu watakuwa kama watumwa ndani ya nchi zao hakuna cha kufanya ni kuomba mungu tu. Hii ajenda ni kubwa sana.

Kama kuna yoyote anakumbuka Filamu ya Babilon 5 ya kitambo kidogo ndo huko tunaelekea kujichanganya na viumbe wa underworld.
 

Chanjo hii ni tofauti.
 
African failure is always put on whites shoulders. You kill your own brothers and sisters then you put all blaims to whites.
Pale M7 anapoua ndugu zake uganda ni wazungu wamemtuma?

Ulitaka pupet kama bobi wine ndo awe raisi?
 
....Mbona mnatisha watu bila sababu..unafikiri kubalidili DNA za mtu ni rahisi kiasi hicho?.....anyways kila mtu ataamini kile achoamini
 
Updates:
Maelfu waandamana Ulaya kupinga chanjo ya Corona huku WHO wakisema tujiandae kupokea chanjo hivyo,je uko tayari?
 

Hapana, mkuu naheshimu sana mawazo ya watu ambayo ni genuine.Ila I must be sincere, siheshimu mawazo ambayo hayana foundation yeyote ya ukweli, ni hisia tu and outright lies.

Kwa bahati mbaya sana mashirika mengi yanayoitwa ya kimataifa au wanaoitwa wafadhili ni outright liars and crooks,I am sorry to say that.Hawa wamefanya watu wetu baada ya miaka mingi ya kuzoezwa uongo,sasa hawaamini ukweli kabisa.

It is very sad. Sikatai mkuu kwamba watalazimisha uongo wao kwetu,ila utabaki kuwa uongo,na hatutakua tumependa it is by force.Ulaya wenzetu wameshafunguka👇 na wanakataa chanjo ya C-19 na lockdows,how long we will continue to be complacent remains to be seen.

I am also aware that the WHO(Bill Gates and Anthony Fauci's tool of human extermination) is trying to force the C-19 vaccine on Tanzania.I am also aware that already Kenya is ordering 16m. doses.Yes,how long we can withstand the pressure and remain an island remains to be seen.
 
Vp kuhusu Human Cloning sio kubadilisha DNA?
Hapana mkuu,in human cloning you do not change the DNA!Human cloning is the creation of a genetically identical copy (or clone) of a human. The term is generally used to refer to artificial human cloning, which is the reproduction of human somatic cells and tissue. It does not also refer to the natural conception and delivery of identical twins.
 
....Mbona mnatisha watu bila sababu..unafikiri kubalidili DNA za mtu ni rahisi kiasi hicho?.....anyways kila mtu ataamini kile achoamini
Ni rahisi kwa kutumia the appropriate tools.Kama vile unavyoweza ku-edit video,you can also edit the DNA by using special equipment.
 
Katika kila jamii lazima kuna watu watatoka na kuwa na mawazo tofauti ila haamanishi wako sawa, kuandama watu wachache wala sio issue tunaona tu haya sababu wanaruhusu kuandamana hata hapa kwetu ukiruhusu watu waandamane kuonyesha misimamo yao kwa amani utaona mengi tu tunapingana.

Mimi sijashauri wala siungi mkono lockdown nachopinga ni kiongozi mkuu kuzungumza kwa dhana na kutoa shutuma za dhana huna ushahidi na unajuwa wako watu wako wengine wanakubali chanjo sasa kutoka katika jukwaa unaongea kwa dhana tu au imani yako unakuwa unakosa. Mimi nakuahidi chanjo zitapigwa kila sehemu hakuna wakukataa na kukataa ndio umeingiza nchi katika majanga ya aibu utatengwa mpaka na majirani zako.

Dunia hii imebadilika ni kama kitu kimoja inategemeana hao wa china ndio huwa tunakimbilia tu chanjo ipo. haya ni makubaliano wali sign nchi zote UN unataka kujitoa waende UN wajitoe ila tujifunge mikanda. Bora kuweka akiba ya maneno maana utakuja kuikubali chanjo kwa lazima kama kiongozi wa nchi itaonesha wewe ni dhaifu sio kama unavyojinadi.

unavyokuwa umeingia katika mikataba ya kimataifa ni lazima uwe sehemu ya utekelezaji. Nyerere aliikataa kabisa IMF na WB lakini ilifika kipindi akaona hawezi tena kuendelea kukataa katika mabadiliko ikabidi aachie madaraka ampe Mwinyi atekelezee mikataba na IMF akiwa kama mwenyekiti wa CCM na mwanachama tu, ilikuwa ni lazima.

Viongozi wetu wajifunze kwenye history, hatuna ubavu wa kupingana na dunia, majirani zetu wote wamekubali chanjo sisi ni nani?
 
Chanjo hii ni tofauti.
Una ushahidi gani hii tofauti?? hata wakati polio inakuja maneno kama haya yalisemwa msipeleke watoto zenu wazungu wametia bla bla bla ujinga mtupu leo hii hatuwasikii tena kimya na chanjo zimeokoa watoto kwa mamilioni kuugua au kufariki kwa magonjwa yanayotibika. tuache kutishana bila kuwa na ushahidi.

chanjo zenyewe wanaanza kujichoma wao kwa speed sisi tusibiri sana kwa misaada na kila mtu atachoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…