Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Na was
Mimi mtu anayetetea in anyway the activities of the NWO frankly ananichefua sana.Majitu yanayo-commit genocide all over the world against humanity unayatetea!Kwa kweli unastahili povu, tena zaidi!
Na wasiojulikana nao wameletwa na Wazungu?

Toa pumba zako hapa. Juzi Uganda serikali imekomit mauaji ya Raia wake kwa sababu tu ya madaraka je serikali ha Uganda imetumwa na NWO?

Acheni upuuzi miafrika ni mijinga sana. Kila mnapofeli mnasingizia wazungu.
 
Kila nilichoandika kina ushahidi tena wa kisayansi,mazingira na hata reference.Sasa wewe umesema uliyoyasema ukiwa na ushahidi gani,kama sio wewe unayekaribia kuokota makopo, halafu unanigeuzia kibao mimi?Don't bury your head in the sand,face the reality and so something for the protection of yourself and family.Kukimbia ukweli hakutakusaidia sana.
Siyo kweli. A lot of it is from alt right conspiratorial websites and sources. Don't trust every garbage you lay your hands on online. Na always akili za kuambiwa changanya na zako kidogo.

Vaccines na antibiotics ni gunduzi mbili muhimu sana ambazo zimeweza kurefusha life span ya binadamu kwa karne na karne. Zipo zilizokuwa na matatizo. Yes...kwa sababu nothing is guaranteed na linapotokea hili zinaboreshwa na hata kuwa abandoned.

Chanjo hizi za Korona nakubali zina sintofahamu nyingi kutokana na muda mfupi uliotumika kuzitengeneza na muktadha wenyewe ni wa dharura sana. Lakini sitaki kuamini eti they are deadly wakati wazungu wenyewe wanachanjana kwa mamilioni. Israeli kule (Taifa la Mungu na wenye akili sana) wameamua kuwa taifa la kwanza kuushinda ugonjwa huu kwa kuchanja kila mtu na wameonyesha kupunguza sana maambukizi.

Sisi Waafrika basi tuchukulie hili sekeseke na wasiwasi huu tulionao kama challenge na tuamke tuanze kutengeneza chanjo zetu wenyewe. Bara zima hatuwezi kuwa na center ambayo inaweza kuwa inatutengenezea chanjo ambazo ni salama (katika muktadha wetu)?Vinginevyo tutaendelea kuonekana majuha tu kuwa tunalalamika kila leo wakati madawa yote bado yanatoka kwa hao hao tunaowalalamikia kuwa wanataka kutumaliza!

Tuamke sasa. Enough is enough!!!
 
Na was

Na wasiojulikana nao wameletwa na Wazungu?? Toa pumba zako hapa. Juzi Uganda serikali imekomit mauaji ya Raia wake kwa sababu tu ya madaraka je serikali ha Uganda imetumwa na NWO?? Acheni upuuzi miafrika ni mijinga sana. Kila mnapofeli mnasingizia wazungu.
Matatizo mengi ya mwafrika kwa sasa ni self-inflicted; na hii single ya kumlaumu mzungu kwa kila kitu ifike mahali ichuje sasa. Uroho wa madaraka, uongozi mbovu, mifumo ya hovyo, ufisadi wa kihayawani, uvivu, choyo, kuamini sana ushirikina, nepotism na taasisi legelege ndivyo vinammaliza Mwafrika. Na kama hali haitobadilika basi atakaa kumlaumu mzungu mpaka ujio wa pili wa Masihi.

Bara zima hili nchi 50+ kweli linashindwa kutengeneza chanjo yake lenyewe? Kazi kulalamika tu!

Wazungu wanachanjana kweli kweli. Israeli kule wamedhamiria kufikia mwisho wa mwezi ujao wawe wamechanja kila mtu. Wamarekani asilimia 13% ya watu wao wameshachanjwa. Halafu ikija kwetu eti oooh wazungu wanataka kutumaliza. Basi si tutengeneze chanjo zetu? Na madawa yetu? Na vifaa vyetu vya tiba?

Na kwa vile hatujachanjwa, wazungu watakataa tusiende katika nchi zao ili tusije tukawapelekea variants zingine hatari zaidi. Napo tutalia eti tunabaguliwa.

Kasheshe hii basi na ikatuamshe. Kulia lia, kulalamika, kuhemka na kushadadia conspiracies zisizo na kichwa wala miguu kama mleta mada hakutatusaidia lo lote!
 
Siasa na ujinga kama huu ndio uliwafanya waafrika wengi wakawa walemavu kwa sababu ya Polio. Wanalishana ujinga kila kinachofanywa na mzungu ni sumu.

Baba zetu na mama zetu hata sisi toka tunazaliwa tumepigwa chanjo nyingi sana na tunadunda.

Wafrika kwa sababu ya inferiority wamekuwa waongo na kudanganyana na kutishana.

Kama vaccines ni dangerous acha wanao kuwapeleka clinic ya chanjo uone cha mtema kunii
Surua na polio na virus we gone hawana hiyo mRNA hivi why sasa ndo wanatakiwa wafe waafrica
 
Matatizo mengi ya mwafrika kwa sasa ni self-inflicted; na hii single ya kumlaumu mzungu kwa kila kitu ifike mahali ichuje sasa. Uroho wa madaraka, uongozi mbovu, mifumo ya hovyo, ufisadi wa kihayawani, uvivu, choyo, kuamini sana ushirikina, nepotism na taasisi legelege ndivyo vinammaliza Mwafrika. Na kama hali haitobadilika basi atakaa kumlaumu mzungu mpaka ujio wa pili wa Masihi.

Bara zima hili nchi 50+ kweli linashindwa kutengeneza chanjo yake lenyewe? Kazi kulalamika tu!

Wazungu wanachanjana kweli kweli. Israeli kule wamedhamiria kufikia mwisho wa mwezi ujao wawe wamechanja kila mtu. Wamarekani asilimia 13% ya watu wao wameshachanjwa. Halafu ikija kwetu eti oooh wazungu wanataka kutumaliza. Basi si tutengeneze chanjo zetu? Na madawa yetu? Na vifaa vyetu vya tiba?

Na kwa vile hatujachanjwa, wazungu watakataa tusiende katika nchi zao ili tusije tukawapelekea variants zingine hatari zaidi. Napo tutalia eti tunabaguliwa.

Kasheshe hii basi na ikatuamshe. Kulia lia, kulalamika, kuhemka na kushadadia conspiracies zisizo na kichwa wala miguu kama mleta mada hakutatusaidia lo lote!
Muda wote Tuna kula,kunywa Na kuvaa by wazungu
 
Siyo kweli. A lot of it is from alt right conspiratorial websites and sources. Don't trust every garbage you lay your hands o In online. Na always akili za kuambiwa changanya na zako kidogo.

Vaccines na antibiotics ni gunduzi mbili muhimu sana ambazo zimeweza kurefusha life span ya binadamu kwa karne na karne. Zipo zilizokuwa na matatizo. Yes...kwa sababu nothing is guaranteed na linapotokea hili zinaboreshwa na hata kuwa abandoned.

Chanjo hizi za Korona nakubali zina sintofahamu nyingi kutokana na muda mfupi uliotumika kuzitengeneza na muktadha wenyewe ni wa dharura sana. Lakini sitaki kuamini eti they are deadly wakati wazungu wenyewe wanachanjana kwa mamilioni. Israeli kule (Taifa la Mungu na wenye akili sana) wameamua kuwa taifa la kwanza kuushinda ugonjwa huu kwa kuchanja kila mtu na wameonyesha kupunguza sana maambukizi.

Sisi Waafrika basi tuchukulie hili sekeseke na wasiwasi huu tulionao kama challenge na tuamke tuanze kutengeneza chanjo zetu wenyewe. Bara zima hatuwezi kuwa na center ambayo inaweza kuwa inatutengenezea chanjo ambazo ni salama (katika muktadha wetu)?Vinginevyo tutaendelea kuonekana majuha tu kuwa tunalalamika kila leo wakati madawa yote bado yanatoka kwa hao hao tunaowalalamikia kuwa wanataka kutumaliza!

Tuamke sasa. Enough is enough!!!
Note this:wanadamu wote ni target of the depopulation agenda.Wala sina haja ya kutumia nguvu nyingi sana kuku-convine kwamba depopulation agenda ipo and real,ni suala la kutumia akili kidogo tu.

Why cancers,why diabetes, why heart diseases,why Ebola,why hepatitis,why cholera, why Bubonic plague, why UTI etc.etc.?The list is long! All these are new diseases. Wake up, be a little bit diagnostic.
 
Muda wote Tuna kula,kunywa Na kuvaa by wazungu
Mawazo ya kitumwa kabisa haya dah!Aibu sana.

Wewe utakuwa kizazi cha akina Mwinyi, Mkapa na Kikwete,ndio wakati Wazungu walipofanikiwa sana kufuta historian yetu na kupenyeza mawazo ya kuwahusudu.

Tunahitaji kubadili mitaala mashuleni haraka sana ili kuondoa kasumba hizi.
 
Na was

Na wasiojulikana nao wameletwa na Wazungu?? Toa pumba zako hapa. Juzi Uganda serikali imekomit mauaji ya Raia wake kwa sababu tu ya madaraka je serikali ha Uganda imetumwa na NWO?? Acheni upuuzi miafrika ni mijinga sana. Kila mnapofeli mnasingizia wazungu.
Wewe ni Mzungu?Hivi mnalipwa nini kuendelea kuwaabudu NWO, who I call psycopaths na kuwakingia kifua kila kukicha.

You are a shame to the whole concept of humanity and especially Panafricanism!
 
Siyo kweli. A lot of it is from alt right conspiratorial websites and sources. Don't trust every garbage you lay your hands o In online. Na always akili za kuambiwa changanya na zako kidogo.

Vaccines na antibiotics ni gunduzi mbili muhimu sana ambazo zimeweza kurefusha life span ya binadamu kwa karne na karne. Zipo zilizokuwa na matatizo. Yes...kwa sababu nothing is guaranteed na linapotokea hili zinaboreshwa na hata kuwa abandoned.

Chanjo hizi za Korona nakubali zina sintofahamu nyingi kutokana na muda mfupi uliotumika kuzitengeneza na muktadha wenyewe ni wa dharura sana. Lakini sitaki kuamini eti they are deadly wakati wazungu wenyewe wanachanjana kwa mamilioni. Israeli kule (Taifa la Mungu na wenye akili sana) wameamua kuwa taifa la kwanza kuushinda ugonjwa huu kwa kuchanja kila mtu na wameonyesha kupunguza sana maambukizi.

Sisi Waafrika basi tuchukulie hili sekeseke na wasiwasi huu tulionao kama challenge na tuamke tuanze kutengeneza chanjo zetu wenyewe. Bara zima hatuwezi kuwa na center ambayo inaweza kuwa inatutengenezea chanjo ambazo ni salama (katika muktadha wetu)?Vinginevyo tutaendelea kuonekana majuha tu kuwa tunalalamika kila leo wakati madawa yote bado yanatoka kwa hao hao tunaowalalamikia kuwa wanataka kutumaliza!

Tuamke sasa. Enough is enough!!!
Nimeonyesha wazi what the so called C-19 vaccine,which is not actually a vaccine is all about.Na nimeonyesha pia jinsi watu wanavyo athirika baada ya kuchanjwa.

Nimenawa mikono sidaiwi, anayechanja anafanya hivyo from an informed position.
 
It seems you are very very deep into these conspiracies. Na kutoka huko is almost impossible. Kazi sana yaani [emoji51][emoji51]
Tafuta kwenye dictionary maana ya conspiracy, hizi sio conspiracies, these are facts.

Kwa hiyo yote uliyoyaona kwenye hizi video ni uongo? So kila usilolijua ni conspiracy? Mmezoea kudanganywa na mainstream media, CNN, BBC, Aljazeera, so to grasp actual truth is next to impossible!

Poleni sana. Pumba mliyolishwa ni ya muda mrefu mno, I can understand.
 
Tafuta kwenye dictionary maana ya conspiracy,hizi sio conspiracies, these are facts.Kwa hiyo yote uliyoyaona kwenye hizi video ni uongo?So kila usilolijua ni conspiracy?Mmezoea kudanganywa na mainstream media,CNN,BBC,Aljazeera,so to grasp actual truth is next to impossible!Poleni sana.Pumba mliyolishwa ni ya muda mrefu mno,I can understand.
Mfuasi wa Kibwetere kumtoa kwa Kibwetere ni almost impossible. Mpaka aangamie kwenye moto tu. Unatumia nguvu nyingi sana mpaka mishipa ya shingo inakutoka kuaminisha watu hizi conspiracies zako zisizo na kichwa wala miguu.

Kwamba vaccine ya Korona ni sumu ya kutuangamiza. Kwa hiyo Waisraeli walioamua kuchanja kila mtu mpaka mwisho wa mwezi ujao wameamua kujifuta kutoka katika uso wa dunia? Au wazungu wao wana za kwao na sisi tu Waafrika ndiyo tunaletewa hizo zenye sumu?
Screenshot_20210222-191228_US%20Newspapers.jpg

Kwamba asilimia 16 ya umma mzima wa Wamarekani ambao umekwishachanjwa nao utaangamia. Au ni collateral damage tu katika mpango mpana wa kutuangamiza sisi Waafrika?
Screenshot_20210222-191351_US%20Newspapers.jpg

Kwamba mpaka sasa hao watu milioni 208 waliokwishachanjwa kutoka nchi 97 duniani kote wote wataangamia?
Screenshot_20210222-191542_US%20Newspapers.jpg

Unakwenda mtandaoni na kuokoteza hizi conspiracies halafu unakuja hapa na kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu. Ukipingwa kidogo povu kama lote. Sad !!!
 
Mfuasi wa Kibwetere kumtoa kwa Kibwetere ni almost impossible. Mpaka aangamie kwenye moto tu. Unatumia nguvu nyingi sana mpaka mishipa ya shingo inakutoka kuaminisha watu hizi conspiracies zako zisizo na kichwa wala miguu.

Kwamba vaccine ya Korona ni sumu ya kutuangamiza. Kwa hiyo Waisraeli walioamua kuchanja kila mtu mpaka mwisho wa mwezi ujao wameamua kujifuta kutoka katika uso wa dunia? Au wazungu wao wana za kwao na sisi tu Waafrika ndiyo tunaletewa hizo zenye sumu?
View attachment 1710054

Kwamba asilimia 16 ya umma mzima wa Wamarekani ambao umekwishachanjwa nao utaangamia. Au ni collateral damage tu katika mpango mpana wa kutuangamiza sisi Waafrika?
View attachment 1710055

Kwamba mpaka sasa hao watu milioni 208 waliokwishachanjwa kutoka nchi 97 duniani kote wote wataangamia?
View attachment 1710062

Unakwenda mtandaoni na kuokoteza hizi conspiracies halafu unakuja hapa na kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu. Ukipingwa kidogo povu kama lote. Sad !!!
Unaniletea taarifa za mainstream media,hizo sio zangu,I am above that.Danganyweni ninyi.

Hivi you want to tell me you do not seriously what the so called C-19 is all about,utakuwa kiazi sana aisee.Pole.
 
Name calling...

Povu....

Na nilifanya kosa kubwa kuanza kujibizana nawe bila kuelewa wewe ni mtu wa aina gani. Nimeangalia posts zako karibu zote ni Conspiracy Theories tu. Ningelijua hili kuanzia mwanzo wala nisingepoteza muda wangu. Kila kitu na kila tukio kwako ni conspiracy theory. Kila kitu kinasababishwa na Globalists, deep state na mabeberu yaani unawazidi hata wafuasi wa kweli wa Trump na Q'Anon wao.

Kujibizana na mtu aliyezama kwenye conspiracies au cults (muumini wa Kibwetere) ni kupoteza muda tu...Na endelea kutema povu mpaka kieleweke. I am out [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Name calling...

Povu....

There is no hope for you. Endelea na ukibwetere wako aisee. Kujibizana na mtu aliyezama kwenye conspiracies au cults ni kupoteza muda tu...Endelea kutema povu mpaka kieleweke [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Taja ukibwetere wangu,mimi siuoni.Yote niliyoanisha ni facts, tena proven by independent scientists, sio udaku wa mainstream media edited by Bill Gates et al.ambao mmeufanya kama source of information.

I agree with Trump on that, it is fake news.
 
Let me get this straight about COVID-19 vaccines:

1.Big Pharma are rushing the vaccines to market.

2.The FDA and other approval organizations are rushing approval.

3.These vaccines have not been fully tested.

4.Even when fully tested,vaccines in the past have proved to be very dangerous.

5.These are vaccines for a virus that has not even been isolated yet.

6.These vaccines will rewrite your DNA.

7.These vaccines will also affect the DNA of your children, grandchildren, great grandchildren, forever.

8.Politicians are considering mandating these vaccines.

May be somehow people believe taking any of the COVID-19 vaccines is something good,not at all.It is extremely dangerous.Please think twice before accepting any of the COVID-19 vaccines.

Follow the following link to see the reaction a vaccine test volunteer victim has received after getting the shot.

I also advice you strongly to read the following message from Robert F.Kennedy Jnr.before considering taking the COVID-19 shot.

The Covid-19 vaccine must be avoided at any cost!

Message from Robert F. Kennedy, Jr.

"To all my patients:

I would like to draw your attention urgently to important issues related to the next Covid-19 vaccination. For the first time in the history of vaccination, the so-called last generation mRNA vaccines are intervening directly in the genetic material of the patient and thereby altering the 'individuals' genetic material, which represents genetic manipulation, something that was already forbidden and until recently considered criminal. This intervention can be compared to the situation in genetically manipulated organisms or foods, which is also highly controversial. Even if the media and politicians currently trivialize the problem and even stupidly call for a new type of vaccine to return to normality, this vaccination is problematic in terms of health, morality and ethics, and also in terms of genetic damage,and unlike damage caused by previous vaccines, this will be irreversible and irreparable.

Dear patients, after receiving the mRNA vaccine shot, you will no longer be able to treat the vaccine symptoms in any way. You will have to live with the consequences, because it can no longer be cured simply by removing toxins from the human body, as is the case with a person with a genetic defect like Down syndrome, Klinefelter syndrome, Turner syndrome, genetic cardiac arrest, hemophilia, cystic fibrosis, Rett syndrome, etc.,because the genetic defect is forever!

This means clearly: if a vaccination symptom develops after an mRNA vaccination, neither I nor any other therapist can help you, because the damage caused by the vaccination will be genetically irreversible. In my opinion, these new vaccines represents a crime against humanity. As Dr. Wolfgang Wodarg, an experienced doctor has said,"In fact, this so called 'promising vaccine' for the vast majority of people should be FORBIDDEN, because it is genetic manipulation! "

The vaccine, developed and endorsed by Anthony Fauci and funded by Bill Gates, uses experimental mRNA technology. Three of the 15 human guinea pigs (20%) used in testing the vaccine experienced a "serious adverse effects".

Note: messenger RNA or mRNA is the Ribonucleic Acid that transfers the genetic code of the DNA of the cell nucleus to a ribosome in the cytoplasm, that is, the one that determines the order in which the amino acids of a protein bind and act as a mold or pattern for the synthesis of that protein.

Everybody please watch and share quickly! This will probably be taken down soon!...

Also follow this link where a test guinea pig dies and women spontaneously become infertile and abort babies.

Please also follow the following link to see how the C-19 will change even our genome!

uliongea nini wakati wakati Genetic Modified crops?!?, tulianza ka ubishi where did we ended up?!? huu ubishi is nothing for now unless tuchukue hatua za kufanya tafiti zetu na zitusaidie. but kama bado tuna TACAIDS ambayo heavily it depends on donors, tuna TB ambayo bado sisi hatuna ugunduzi wa dawa zinazotufaa, tuna HIV ambayo bado hatuna dawa yetu.

Ndg yangu we must think clearly,good and focused
 
uliongea nini wakati wakati Genetic Modified crops?!?, tulianza ka ubishi where did we ended up?!? huu ubishi is nothing for now unless tuchukue hatua za kufanya tafiti zetu na zitusaidie. but kama bado tuna TACAIDS ambayo heavily it depends on donors, tuna TB ambayo bado sisi hatuna ugunduzi wa dawa zinazotufaa, tuna HIV ambayo bado hatuna dawa yetu. Ndg yangu we must think clearly,good and focused
Labda ingekuwa busara mkuu kujiuliza hivi kabla ya Wazungu kuja,tulikuwa na magonjwa uliyotaja?Yametoka wapi.I believe it is common sense.Halafu sijui kama unajua the thesis antithesis synthesis scenario.Wazungu ndio mfumo wao.

They bring you a problem they pretend to bring a solution,but the solution comes with a myriad of problems, then they bring an antithesis,and the game continues, huku watu wanaugua na kufa.Why we don't wake up is a billion dollar question.

Magufuli amesema tutumie dawa zetu za asili hatumuelewi.Dawa za Wazungu zinatumaliza!
 
Back
Top Bottom