Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

Na was
Mimi mtu anayetetea in anyway the activities of the NWO frankly ananichefua sana.Majitu yanayo-commit genocide all over the world against humanity unayatetea!Kwa kweli unastahili povu, tena zaidi!
Na wasiojulikana nao wameletwa na Wazungu?

Toa pumba zako hapa. Juzi Uganda serikali imekomit mauaji ya Raia wake kwa sababu tu ya madaraka je serikali ha Uganda imetumwa na NWO?

Acheni upuuzi miafrika ni mijinga sana. Kila mnapofeli mnasingizia wazungu.
 
Siyo kweli. A lot of it is from alt right conspiratorial websites and sources. Don't trust every garbage you lay your hands on online. Na always akili za kuambiwa changanya na zako kidogo.

Vaccines na antibiotics ni gunduzi mbili muhimu sana ambazo zimeweza kurefusha life span ya binadamu kwa karne na karne. Zipo zilizokuwa na matatizo. Yes...kwa sababu nothing is guaranteed na linapotokea hili zinaboreshwa na hata kuwa abandoned.

Chanjo hizi za Korona nakubali zina sintofahamu nyingi kutokana na muda mfupi uliotumika kuzitengeneza na muktadha wenyewe ni wa dharura sana. Lakini sitaki kuamini eti they are deadly wakati wazungu wenyewe wanachanjana kwa mamilioni. Israeli kule (Taifa la Mungu na wenye akili sana) wameamua kuwa taifa la kwanza kuushinda ugonjwa huu kwa kuchanja kila mtu na wameonyesha kupunguza sana maambukizi.

Sisi Waafrika basi tuchukulie hili sekeseke na wasiwasi huu tulionao kama challenge na tuamke tuanze kutengeneza chanjo zetu wenyewe. Bara zima hatuwezi kuwa na center ambayo inaweza kuwa inatutengenezea chanjo ambazo ni salama (katika muktadha wetu)?Vinginevyo tutaendelea kuonekana majuha tu kuwa tunalalamika kila leo wakati madawa yote bado yanatoka kwa hao hao tunaowalalamikia kuwa wanataka kutumaliza!

Tuamke sasa. Enough is enough!!!
 
Matatizo mengi ya mwafrika kwa sasa ni self-inflicted; na hii single ya kumlaumu mzungu kwa kila kitu ifike mahali ichuje sasa. Uroho wa madaraka, uongozi mbovu, mifumo ya hovyo, ufisadi wa kihayawani, uvivu, choyo, kuamini sana ushirikina, nepotism na taasisi legelege ndivyo vinammaliza Mwafrika. Na kama hali haitobadilika basi atakaa kumlaumu mzungu mpaka ujio wa pili wa Masihi.

Bara zima hili nchi 50+ kweli linashindwa kutengeneza chanjo yake lenyewe? Kazi kulalamika tu!

Wazungu wanachanjana kweli kweli. Israeli kule wamedhamiria kufikia mwisho wa mwezi ujao wawe wamechanja kila mtu. Wamarekani asilimia 13% ya watu wao wameshachanjwa. Halafu ikija kwetu eti oooh wazungu wanataka kutumaliza. Basi si tutengeneze chanjo zetu? Na madawa yetu? Na vifaa vyetu vya tiba?

Na kwa vile hatujachanjwa, wazungu watakataa tusiende katika nchi zao ili tusije tukawapelekea variants zingine hatari zaidi. Napo tutalia eti tunabaguliwa.

Kasheshe hii basi na ikatuamshe. Kulia lia, kulalamika, kuhemka na kushadadia conspiracies zisizo na kichwa wala miguu kama mleta mada hakutatusaidia lo lote!
 
Surua na polio na virus we gone hawana hiyo mRNA hivi why sasa ndo wanatakiwa wafe waafrica
 
Muda wote Tuna kula,kunywa Na kuvaa by wazungu
 
Note this:wanadamu wote ni target of the depopulation agenda.Wala sina haja ya kutumia nguvu nyingi sana kuku-convine kwamba depopulation agenda ipo and real,ni suala la kutumia akili kidogo tu.

Why cancers,why diabetes, why heart diseases,why Ebola,why hepatitis,why cholera, why Bubonic plague, why UTI etc.etc.?The list is long! All these are new diseases. Wake up, be a little bit diagnostic.
 
Muda wote Tuna kula,kunywa Na kuvaa by wazungu
Mawazo ya kitumwa kabisa haya dah!Aibu sana.

Wewe utakuwa kizazi cha akina Mwinyi, Mkapa na Kikwete,ndio wakati Wazungu walipofanikiwa sana kufuta historian yetu na kupenyeza mawazo ya kuwahusudu.

Tunahitaji kubadili mitaala mashuleni haraka sana ili kuondoa kasumba hizi.
 
Wewe ni Mzungu?Hivi mnalipwa nini kuendelea kuwaabudu NWO, who I call psycopaths na kuwakingia kifua kila kukicha.

You are a shame to the whole concept of humanity and especially Panafricanism!
 
Nimeonyesha wazi what the so called C-19 vaccine,which is not actually a vaccine is all about.Na nimeonyesha pia jinsi watu wanavyo athirika baada ya kuchanjwa.

Nimenawa mikono sidaiwi, anayechanja anafanya hivyo from an informed position.
 
It seems you are very very deep into these conspiracies. Na kutoka huko is almost impossible. Kazi sana yaani [emoji51][emoji51]
Tafuta kwenye dictionary maana ya conspiracy, hizi sio conspiracies, these are facts.

Kwa hiyo yote uliyoyaona kwenye hizi video ni uongo? So kila usilolijua ni conspiracy? Mmezoea kudanganywa na mainstream media, CNN, BBC, Aljazeera, so to grasp actual truth is next to impossible!

Poleni sana. Pumba mliyolishwa ni ya muda mrefu mno, I can understand.
 
Mfuasi wa Kibwetere kumtoa kwa Kibwetere ni almost impossible. Mpaka aangamie kwenye moto tu. Unatumia nguvu nyingi sana mpaka mishipa ya shingo inakutoka kuaminisha watu hizi conspiracies zako zisizo na kichwa wala miguu.

Kwamba vaccine ya Korona ni sumu ya kutuangamiza. Kwa hiyo Waisraeli walioamua kuchanja kila mtu mpaka mwisho wa mwezi ujao wameamua kujifuta kutoka katika uso wa dunia? Au wazungu wao wana za kwao na sisi tu Waafrika ndiyo tunaletewa hizo zenye sumu?


Kwamba asilimia 16 ya umma mzima wa Wamarekani ambao umekwishachanjwa nao utaangamia. Au ni collateral damage tu katika mpango mpana wa kutuangamiza sisi Waafrika?


Kwamba mpaka sasa hao watu milioni 208 waliokwishachanjwa kutoka nchi 97 duniani kote wote wataangamia?


Unakwenda mtandaoni na kuokoteza hizi conspiracies halafu unakuja hapa na kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu. Ukipingwa kidogo povu kama lote. Sad !!!
 
Unaniletea taarifa za mainstream media,hizo sio zangu,I am above that.Danganyweni ninyi.

Hivi you want to tell me you do not seriously what the so called C-19 is all about,utakuwa kiazi sana aisee.Pole.
 
Unaniletea taarifa za mainstream media,hizo sio zangu,I am above that.Danganyweni ninyi.

Hivi you want to tell me you do not seriously what the so called C-19 is all about,utakuwa kiazi sana aisee.Pole.

Name calling...

Povu....

Na nilifanya kosa kubwa kuanza kujibizana nawe bila kuelewa wewe ni mtu wa aina gani. Nimeangalia posts zako karibu zote ni Conspiracy Theories tu. Ningelijua hili kuanzia mwanzo wala nisingepoteza muda wangu. Kila kitu na kila tukio kwako ni conspiracy theory. Kila kitu kinasababishwa na Globalists, deep state na mabeberu yaani unawazidi hata wafuasi wa kweli wa Trump na Q'Anon wao.

Kujibizana na mtu aliyezama kwenye conspiracies au cults (muumini wa Kibwetere) ni kupoteza muda tu...Na endelea kutema povu mpaka kieleweke. I am out [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Name calling...

Povu....

There is no hope for you. Endelea na ukibwetere wako aisee. Kujibizana na mtu aliyezama kwenye conspiracies au cults ni kupoteza muda tu...Endelea kutema povu mpaka kieleweke [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Taja ukibwetere wangu,mimi siuoni.Yote niliyoanisha ni facts, tena proven by independent scientists, sio udaku wa mainstream media edited by Bill Gates et al.ambao mmeufanya kama source of information.

I agree with Trump on that, it is fake news.
 
uliongea nini wakati wakati Genetic Modified crops?!?, tulianza ka ubishi where did we ended up?!? huu ubishi is nothing for now unless tuchukue hatua za kufanya tafiti zetu na zitusaidie. but kama bado tuna TACAIDS ambayo heavily it depends on donors, tuna TB ambayo bado sisi hatuna ugunduzi wa dawa zinazotufaa, tuna HIV ambayo bado hatuna dawa yetu.

Ndg yangu we must think clearly,good and focused
 
Labda ingekuwa busara mkuu kujiuliza hivi kabla ya Wazungu kuja,tulikuwa na magonjwa uliyotaja?Yametoka wapi.I believe it is common sense.Halafu sijui kama unajua the thesis antithesis synthesis scenario.Wazungu ndio mfumo wao.

They bring you a problem they pretend to bring a solution,but the solution comes with a myriad of problems, then they bring an antithesis,and the game continues, huku watu wanaugua na kufa.Why we don't wake up is a billion dollar question.

Magufuli amesema tutumie dawa zetu za asili hatumuelewi.Dawa za Wazungu zinatumaliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…