Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Hakika naomba niweke ninaloliona juu ya Darasa. Mziki wake unampenda kuliko yeye anavyoupenda mziki.
Sioni akiupa promo ya kutosha mziki huu ulikonga nyimbo za watanzania na wapenda burudani wote. Namuita kizibo cha mwaka kwani sitarajii nyimbo nyingine nzuri zaidi ya hii mwaka 2016. Sielewi Darasa ni u big brother ndio unamfanya awe decent to that extent ama nini. Naona nyimbo yake inatumia Nguvu kubwa kujipromote kuliko yeye anavyoimpromote.
Nikasame Vip wazee wa fursa under Plantanumz, hii nyimbo ingekua yake/yao tungesikia show Nairobi/Kigali na sehemu nyingine za East Africa.
My take:
Darasa your the best in commercial Hip Hop ths year ..amka ..golden chance never come twice. Kumbuka watanzania ni wasahaulifu saana, use opportunity when its comes bro.
Ahsante.