princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Halafu kuna kitu nmekigundua hapa bongo!! kuhusu diamond, na media zetu
media huwa zinamtengeneza msanii mfano clouds ilimsapoti diamond akatoka akatusua akaenda zake ,ikawa tofauti na matarajio waliyoyataka kuwa wanakuvumisha halafu wanakuchujisha!
badala ya hapo diamond amekua na haters wengi tukianzia kwenye media..
mfano : alikiba hana uwezo wa kubattle na diamond, ila alikiba alitengenezwa ili kushindana na diamond, na fans wake ni anti- diamond..
tatizo linakuja kuwa kiba habebeki!!
sasa kinachoendelea sasa hivi anatengenezwa Darassa, anajua mziki lakini kinachofanywa sasa na media za bongo ni kuntengeneza abattle na diamond ,clouds kutwa nzima ni darassa tu ,sio interview ,vipindi vyote na mziki wa drassa utakuepo
Eatv nako hali kadhalika ..!!!
media acheni hizo mambo za fitina!!! wanyanyueni wasanii wote, wakifanikiwa wakawazidi msiwachukie! ndio matunda hayo!!