Let say hii nyimbo ya Darasa/#Mziki, ingukua ni ya WCB/Diamond plus ths December

Kama Wewe ulivyo msahaulifu, wimbo ni mzur hakuna ubishi ila thread yako imekaliwa na mawazo ya UWAKALA WA KISHETANI yaan chuki dhidi WCB

Ingekuwa ni vyema kama ungechukua promotion na marketing ya WCB kama chachu ya kumchagiza DARASA kusonga mbele zaidi na Mziki wake.
 
Ukweli upi huo kuwaita watz malaya ina mana hata na wazaz wako sio..ndo mana nakuambia una mdomo mchafu kuna haja gan ya kulinganisha watu na matusi uliyoyasemaa hapa kisa ushabik wa mziki tuu ..kua na akili
Kawaida yao hawo hujawazoea wazee wa ndondo cup
 
Sasa kwani Mm nimefanyaje ..Are you Sure Umesoma Kabla Ya kucomment ulichokicoment Bro.
 
Ila kwasababu darassa hana vision wala mission kama wasanii wengi wa Tanzania walivyo hii single itaisha hajafanya kitu chochote kile cha kujipandisha thamani...
 
Sijakuelewa.

Kwa hiyo unataka kusema Darassa ili atoboe zaidi ajiunge WCB au wataka kusemaje?!
...afanye remix na chibu....ya wimbo wa muziki ili chibu amsaidie kumtanganza beyond borders mf ug...kenya. And kiinternationally........maana diz song ins bamba sana mkuu.....approximately views utube watakuwa 5millions in 1 week......
 
"Mwenye mapembe muongezee mkia,na ukibeep nakupigia"
Hii ngoma imetisha sana aisee na ina maneno mazito yenye vina tata
 
Mi naona kama vile wewe ndo umemuelewa vibaya mleta mada
 
uckariri kaka kila mtu ananjia zake kama huamini uza unga na wewe uone kama utakua kama bakresa usidhani kila njia anayotumia wcb ndio wote watumie utafel ndio maana kuna mikakati tofauti kqa kila management. swali hilo uliza kwa viongozi mbona hawatumii njia wanazotumia wachina kuendelea ukipata jibu basi muache darasa afanye kwa njia yake hata kama unaona inampa hasara ila anaifahamu
Kuna mengi ya Kumuomba Mungu kabla ya kumuomba utajiri"-FA.
 
Ila kwasababu darassa hana vision wala mission kama wasanii wengi wa Tanzania walivyo hii single itaisha hajafanya kitu chochote kile cha kujipandisha thamani...
eikiliza mistar yake hana tabia ya kujigamba tatzo lenu mnataka hadi ajigambe wengine hawana tabia za upande fulan hvi
 
Darasa (your) the best= You are.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…