Let say hii nyimbo ya Darasa/#Mziki, ingukua ni ya WCB/Diamond plus ths December

Halafu kuna kitu nmekigundua hapa bongo!! kuhusu diamond, na media zetu

media huwa zinamtengeneza msanii mfano clouds ilimsapoti diamond akatoka akatusua akaenda zake ,ikawa tofauti na matarajio waliyoyataka kuwa wanakuvumisha halafu wanakuchujisha!

badala ya hapo diamond amekua na haters wengi tukianzia kwenye media..

mfano : alikiba hana uwezo wa kubattle na diamond, ila alikiba alitengenezwa ili kushindana na diamond, na fans wake ni anti- diamond..

tatizo linakuja kuwa kiba habebeki!!

sasa kinachoendelea sasa hivi anatengenezwa Darassa, anajua mziki lakini kinachofanywa sasa na media za bongo ni kuntengeneza abattle na diamond ,clouds kutwa nzima ni darassa tu ,sio interview ,vipindi vyote na mziki wa drassa utakuepo

Eatv nako hali kadhalika ..!!!

media acheni hizo mambo za fitina!!! wanyanyueni wasanii wote, wakifanikiwa wakawazidi msiwachukie! ndio matunda hayo!!
 
...afanye remix na chibu....ya wimbo wa muziki ili chibu amsaidie kumtanganza beyond borders mf ug...kenya. And kiinternationally........maana diz song ins bamba sana mkuu.....approximately views utube watakuwa 5millions in 1 week......
Darasa angekuwa na akili hii angeenda mbali sana.
Na angepata promo ya maana.
Na chibu angainyumbulisha hio nyimbo ya darasa hatari.
In short jamaa angemtumia chibu kama kiki ya kwenda nje kimataifa
 
DaRaSa inabidi abadirike na ajue Muziki ni kazi na sio Hardcore life full mibange na Ngada ataishia walipoishia TMK bangeeee Nyingi uku Chakula Chenyewe Ugali na Chunvi By GK
 
Darasa angekuwa na akili hii angeenda mbali sana.
Na angepata promo ya maana.
Na chibu angainyumbulisha hio nyimbo ya darasa hatari.
In short jamaa angemtumia chibu kama kiki ya kwenda nje kimataifa
...basi mtanzania mwenzangu...tuundeni promo huko IG ,TWITTER...NA KWINGINEKO......ili imfikie na imchome m baba tiii...ili amuupromo brother akee 4rm anaza mother.....
 
Kaka labda huelewi, ili kufanikiwa katika biashara yoyote ni lazima uzingatie MARKETING ndicho nachomaanisha Mimi na ndicho anchotakiwa afanye DARASA kwa mujibi wa Uzi huu.

Ndio maana nkasema inabidi aichukulie kama changamoto ya kumchagiza DARASA.

KAKA MARKETING NI LAZIMA, ILA JINSI YA KUIFANYA NDO INAWEZA KUWA TOFAUTI

NATUMAI UMENIELEWA.
 
Sasa kwani Mm nimefanyaje ..Are you Sure Umesoma Kabla Ya kucomment ulichokicoment Bro.
Umesema mziki wake unampenda kuliko anavyoupenda.

Kwa mujibu wa post yako umejaribu kuona Kizibo cha kufungia mwaka cha Darasa kingekuwa cha WCB wangefanya promo ya nguvu ila kwa Ubig brother wa DARASA hapromte sana.

Ndo maana nasema kama ni hvo CHUKULIA PROMOTION NA MARKETING YA WCB KAMA CHANGAMOTO YA KUMCHAGIZA DARASA KUUSOGEZA MZIKI WAKE MBELE.

COMMENT YANGU NI MTAZAMO WA POST YAKO, USIPELEKE NJE YA BOX HILI TAFADHALI.
 
Kwanza eti Darassa nilimdharau aliposema anataka watu wa nje Ndio wamfuate yey
e kufanya collabo lakini yeye hawezi kutoka nje kufuata collabo Hapo nikamuona kaanza diss za kitoto,
 
Mkuu Uko sahihi na Hilo linakuja kwa kua Diamond ana strong management yake na karibu mambo yote anajisimamia so wakienda kuongea nae wanaongea nae kama CEO na Boss kama walivyo wao wamiliki Hiki kitu kinawauma sana Ndio juhudi za kumfufua kiba zilianza ili kumshusha mond lakini imeshindikana kumshusha.

sasa kinachoendelea sasa hivi anatengenezwa Darassa, anajua mziki lakini kinachofanywa sasa na media za bongo ni kuntengeneza abattle na diamond ,clouds kutwa nzima ni darassa tu ,sio interview ,vipindi vyote na mziki wa drassa utakuepo

Eatv nako hali kadhalika ..!!!

media acheni hizo mambo za fitina!!! wanyanyueni wasanii wote, wakifanikiwa wakawazidi msiwachukie! ndio matunda hayo!![/QUOTE]
 
Tatizo hajui kutumia fursa. Huu wimbo unaweza ukaenda hadi ukachuja na asiingize kitu cha maana. Kumbe kwa wanaojua muziki biashara, huu ndio ungekuwa muda muafaka wa kupiga hela.
 
Ni kweli kabisa hata Mimi namshangaa darasa anakomaa na show za geita,mara mtwara,Ifakara, iringa badala ya kutafuta shows za Kampala, Nairobi, kigari,Jo'burg na huko Europe
 
...afanye remix na chibu....ya wimbo wa muziki ili chibu amsaidie kumtanganza beyond borders mf ug...kenya. And kiinternationally........maana diz song ins bamba sana mkuu.....approximately views utube watakuwa 5millions in 1 week......
Aaaah wapi aende Naija tu kama chibu, huyo chibu kujipromote anatumia hao wanaija. Acha kumdanganya mwenzio
 
Nyinyi timu maharage wa mondi ndiyo mnaoona kuwa kila msanii anayekuja juu anabattle na mondi, kila mtu na wakati wake mazee, wapi davido, wapi P square. Kama naija mtu moto kwa sasa ni tecno so huwez sema mashabiki wake ni haters wa davido. Same here, achen watu wengine wapasue anga, msione kuwa adui zenu
 
Darasa angekuwa na akili hii angeenda mbali sana.
Na angepata promo ya maana.
Na chibu angainyumbulisha hio nyimbo ya darasa hatari.
In short jamaa angemtumia chibu kama kiki ya kwenda nje kimataifa
Mwambie aunyumbulishe sugu wa raymond kwanza.
 
Eheeee mwambie afanyaje labda au akulipe kwanza, weka invoice yako basi, wewe kama shabiki wa kweli mpe hizo njia basi, vinginevyo lemme make one thing clear, bla bla sitak kusikia hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…