The French revolution mwaka 1789....kulikuwa na crisi kubwa sana Ufaransa mwisho mwa karne ya 18 kiasi kwamba kulipekea njaa na matatizo mengine ya kiuchumia. Raia maskini wa Ufaransa waliandamana kwenda kwa mfalme Louis XVI kwenda kudai mikate kwa ajili ya chakula. Malkia Anttoinette alisimama ghorofani akiwachungulia waandamanaji. Akawaambia kwa kebehi kama hamna mikate kanunueni keki....Kiburi hiki toka kwa malkia ambaye kwa asili hakuwa mfaransa na Mama mwenye matumizi ya anasa kwa pesa ya walipa kodi yalisababisha mapinduzi ambayo mwisho wake Malkia na mfalme waliuawa kwa kuchinjwa mwaka 1792