King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Wana Jf na wana jukwaa kwa ujumla, katika pitapita zangu za makala za historia ya watu na mambo mbalimbali yaliyopata kutokea duniani, nilikutana na sentensi hiyo ambayo imehusishwa na tabaka tawala na tabaka tawaliwa, sijaielewa context ya ndani na habari hiyo hasa ipo vipi mpaka huyu malkia akaitamka maneno hayo, kulitokea nini na alikua anawaambia akina nani ambao walifanya nini...naomba kusaidiwa kuelewa [MENTION=95670]Kiranga/MENTION] Nyani Ngabu na wengine wote wenye idea
Last edited by a moderator: