Leta biashara, tushee faida

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
420
Salama wakuu,

Tuna kampuni 3
1. General supplies limited company
2. IT company
3. Building and construction company

Tuna operate kwa win win situation,leta biashara,tushee profit kwa 70 kwa 30 asilimia
 
Hapo kwenye general supplies, mme-specialize wapi? nina Gari tani 3.5; lete deal la service tunayoweza fanya utapata hiyo 30% 'ya faida' sio mapato. Taja supply items ambazo uko competent
 
Hapo kwenye general supplies, mme-specialize wapi? nina Gari tani 3.5; lete deal la service tunayoweza fanya utapata hiyo 30% 'ya faida' sio mapato. Taja supply items ambazo uko competent
Stationeries na hardware materials
 
# 2 nna skills sina mtaji kma uko tayar tufanye kaz website designing
 
Nani anaweka capital / operating costs ?
 
Mleta uzi sijakuelewa,kwa mfano hapo kwenye supplies imekaa aje,

Toa maelezo vizuri tufanye biashara
 
Mleta uzi sijakuelewa,kwa mfano hapo kwenye supplies imekaa aje,

Toa maelezo vizuri tufanye biashara

Mkuu ni rahis sana,kama ni tender au kazi yoyote,tunatoa gharama za oparesheni,utashilikishwa kila hatua ili ujue a
faida ni sh ngapi upate asilimia yako!Kama ni mteja ambaye tulishafanya naye kazi na hasumbui kulipa,utapigwa baada ya kusupply tu,ila kama ni mteja mpya,akishalipa tu nawe una pata kami shem yako ya 30%
 
Kwahio in short hii ni kwamba ninawaunganisha kwenye tender..., alafu badala ya kula ile 10% tuliyozoea mimi nakula 30%

Mfano kama nikiamua kutafuta tender kwa kutumia kampuni yenu alafu tender ikitiki ndio niwape issue tufanye kazi...., ile bei ya kununua tender na vitabu vya tender nani anatoa.. ?

Samahani kama maswali yamezidi just want to know kama nianze kununua daily news na kuomba kila tender inayokatiza machoni kwangu
 
Mkuu,tender zina mambo mengi na ni probability kupata ,hata sie huwa tunaomba tender sana baadhi tunapata na baadhi tunakosa,Kama waweza kuomba tender,gharama zitakuwa kwako mkuu!ila kazi ikipatatikana tutatoa gharama zako kukufidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…