Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stationeries na hardware materials
Mleta uzi sijakuelewa,kwa mfano hapo kwenye supplies imekaa aje,
Toa maelezo vizuri tufanye biashara
Mkuu,tender zina mambo mengi na ni probability kupata ,hata sie huwa tunaomba tender sana baadhi tunapata na baadhi tunakosa,Kama waweza kuomba tender,gharama zitakuwa kwako mkuu!ila kazi ikipatatikana tutatoa gharama zako kukufidiaKwahio in short hii ni kwamba ninawaunganisha kwenye tender..., alafu badala ya kula ile 10% tuliyozoea mimi nakula 30%
Mfano kama nikiamua kutafuta tender kwa kutumia kampuni yenu alafu tender ikitiki ndio niwape issue tufanye kazi...., ile bei ya kununua tender na vitabu vya tender nani anatoa.. ?
Samahani kama maswali yamezidi just want to know kama nianze kununua daily news na kuomba kila tender inayokatiza machoni kwangu