KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Mimi sasa iposiku nipo na wana wakizungu tupo simanjiro tukapiga vyombo castle by then zikaisha, safari, zikaisha pombe aina ya bia zikaisha tukaanza nyagi zikaisha tukalewa sasa kwenda kulala sinakaficha funguo za gari kilichonikuta nikasahau nilipoziweka!
Asubuhi nikihangaika hadi baa niliyokuwa nakunywa hangover sasa ilibidi niombe Nitumiwe ufunguo wa akiba kesho yake ila sasa nilipoenda kuvaa Viatu ndo nikaukuta nikajilaumu sana nikapiga simu home wasitume ufunguo tena😂😂😂 ila ukilewa usifiche kitu chochote labda uandike mahali
2. Nilikula pombe nikiwa nimelewa nikasema nifiche pesa katika gari wee mpaka gari nikauza laki mbili zangu sikuambulia nilitafuta hadi başı!!😂😂 Pombe noma sana