mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Huo ni upro baharia aiseeUnaa
Unaanzaje kukubali mkuu? Ni kosa kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni upro baharia aiseeUnaa
Unaanzaje kukubali mkuu? Ni kosa kubwa sana
Tungi! Tungi, mmh nyie acheni tu, just imagine unamla mzazi wako! Jamani pombe sioMimi sasa iposiku nipo na wana wakizungu tupo simanjiro tukapiga vyombo castle by then zikaisha, safari, zikaisha pombe aina ya bia zikaisha tukaanza nyagi zikaisha tukalewa sasa kwenda kulala sinakaficha funguo za gari kilichonikuta nikasahau nilipoziweka!
Asubuhi nikihangaika hadi baa niliyokuwa nakunywa hangover sasa ilibidi niombe Nitumiwe ufunguo wa akiba kesho yake ila sasa nilipoenda kuvaa Viatu ndo nikaukuta nikajilaumu sana nikapiga simu home wasitume ufunguo tena😂😂😂 ila ukilewa usifiche kitu chochote labda uandike mahali
2. Nilikula pombe nikiwa nimelewa nikasema nifiche pesa katika gari wee mpaka gari nikauza laki mbili zangu sikuambulia nilitafuta hadi başı!!😂😂 Pombe noma sana
😂😂😂😂🙌🏾Mwaka jana kwenye chrissmas nililala rouge moja ivii sasa nilienda kununua via mana mbele ya hiyo RG Kuna bar wakati wakurudi nilisahau mlango nishavuka mlango mmoja nakuta jamaa anapiga pumbu kumbe hakufunga mlango uzuri yule jamaa anajuwa kwa kuniona ila hatuna mazoea akapoa mm nilipo ingia nilijuwa my wangu anapigwa miti nacheki kwenye meza sioni sm nikajuwa sio Nilitoka chapu huku naomba samahani nyingi ....ntamalizia kesho ila mmenielewa tungi kama tungi