Leta kısa chako hapa kılıchokutokea wakati ukiwa umelewa

Tungi! Tungi, mmh nyie acheni tu, just imagine unamla mzazi wako! Jamani pombe sio
 
Sasa hii nikiwa na mwana Asprin tumelewa ukiwasha kiberti tunalipuka akapanda mtumbwi wa vibwengo nilikuwa na CELICA SPORT alipiga ukunga kitu iliivishwa kutoka mbezi kuja kufika Kinondoni moto wake mhm kesho yake nikaona ulevi noma
 
😂😂😂😂🙌🏾
 
Pombe ni nzuri ukiwa unazinywa ila ukizidisha kesho Yako majuto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…