the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,003
Recently kumekua na kajitabia cha watu kuleta thread zenye hoja laini au vituko tu! Naamini pia bado kuna nyuzi ambazo ni Nondo bado zipo....
Basi kwa kutambua hilo,kwa sababu sio rahisi kuweza kuona kila uzi unaoanzishwa ktk forum hii...hivo tuleteane hapa link za Nyuzi mbali mbali zenye mashiko iwe rahisi kuzipitia na sisi tupate kitu!
Mfano naanza na hizi chache hapa chini.... they are funny for real!
Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu
Response yake ni hii
Kikao cha dharura kwa wanaume tu
Mwingine ni huu
Kwa nini tunavaa condom?
Huu pia
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1270701/
LETENI THREAD HIZO TUKAZIKAGUE TUWEKE NA MAWAZO YETU KAMA ITATULAZIMU.