Leta link ya uzi unaokuchekesha au unaokukera

Leta link ya uzi unaokuchekesha au unaokukera

the_forum

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
774
Reaction score
1,003
Recently kumekua na kajitabia cha watu kuleta thread zenye hoja laini au vituko tu! Naamini pia bado kuna nyuzi ambazo ni Nondo bado zipo....

Basi kwa kutambua hilo,kwa sababu sio rahisi kuweza kuona kila uzi unaoanzishwa ktk forum hii...hivo tuleteane hapa link za Nyuzi mbali mbali zenye mashiko iwe rahisi kuzipitia na sisi tupate kitu!

Mfano naanza na hizi chache hapa chini.... they are funny for real!

Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu
Response yake ni hii
Kikao cha dharura kwa wanaume tu

Mwingine ni huu

Kwa nini tunavaa condom?

Huu pia

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1270701/

LETENI THREAD HIZO TUKAZIKAGUE TUWEKE NA MAWAZO YETU KAMA ITATULAZIMU.
 
1. Brig. Gen. Kuwekwa hadharani kwa upumbavu.
2. Enzi zile Kapuya kutembea na kitoto kidogo kichokoraa.
Hizi nyuzi zimeleta mafanikio kwa brig. Kupumzishwa kazi na Kapuya kuacha upuuzi mpaka ameoa bonge la Toto la kinyamwezi..
 
Mkuu leta link,iwe rahisi tuende tuka pate kitu [emoji847]
 
Link link wakuu [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom