THEBLACKPEARL
Member
- Jun 11, 2015
- 69
- 46
Hiyo thread imekuboa au imekufirahisha?Unajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona inakukera au kukufurahisha yaan any mada(thread)
Mimi naanza na hii:
Nataka kuoa jini
Haya twendeni
Ua [emoji117] AuUnajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona inakukera au kukufurahisha yaan any mada(thread)
Mimi naanza na hii:
Nataka kuoa jini
Haya twendeni
ilinifurahisha...........Hiyo thread imekuboa au imekufirahisha?
duh kweli nimechekesha walionunaLeta thread iliyokuboa ua kukufurahisha JamiiForums
Huyu ata mimi sikumuelewa!Nimefika Dar es Salaam 2002 lakini hadi leo sijawai sex ardhi ya Dsm