Leta thread iliyokuboa ua kukufurahisha JamiiForums

THEBLACKPEARL

Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
69
Reaction score
46
Unajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona inakukera au kukufurahisha yaan any mada(thread)

Mimi naanza na hii:

Nataka kuoa jini

Haya twendeni
 
Hiyo thread imekuboa au imekufirahisha?
 
Unajua humu jamvini kuna watu wanaletaga mada zinazoboa au za uchochezi kuna za kufurahisha kuna za kuhuzunisha yaani kila kitu kipo all in all nataka kuanzisha mchezo as wewe sema mada uliyoona inakukera au kukufurahisha yaan any mada(thread)

Mimi naanza na hii:

Nataka kuoa jini

Haya twendeni
Ua [emoji117] Au

Sidhani kama kuna thread zinafurahisha kuliko za Daudi A. Bashite
 
Kuna thread flani aliianzisha Mentor ya utani daah niliipenda balaa sijui nitaipata wap
 
Back
Top Bottom