Leteni picha za wahenga hawa wa kizungu

Mkuu Bujibuji umeua ila katika yote hiyo ya 9 ndiyo tunayodeal nayo hapa Bongo kwa wauza mishikaki, juice mitaani, wauza embe, na tuwasalimiao kila asubuhi watokapo kuhamka. Utashangaa unampa jirani mkono baada ya muda unashangaa unanuka mavi wakati unajuwa kabisa umetoka nyumbani ulishaoga. Umetishaz.
 
Hahaaaa! Kuna siku pale Ilala Sokoni eneo wanapouza samaki vitoga, panya kwa spidi kali sana aliingia ndani suruali ya mtu na kufanikiwa kufika maeneo nyeti juu ya magoti ya jamaa mmoja aliyekuwa amevaa bugaloo. Kilichotokea usiniulize
 
PANYA akapiga blow job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…