Letita Wright (Shuri) vs Tulia Ackson, mapacha toka tumbo tofauti

Letita Wright (Shuri) vs Tulia Ackson, mapacha toka tumbo tofauti

Son
Kuna mawili
aidha una utani na Lilita
au unamsolelea Subwoofer.
mi simo!
 
tulia nampendaga alivyo na kaurembo ka asili
tatizo ile roho ya kikauzu anayodisplay bungeni nahisi nyumba itakuwa kibiti
 
Aisee sijui kwanini simpendi naibu spika!

I really everything about her.....totally!

Im sorry for being honest!
 
dada yangu anafanana na mia khalifa lkn cjawahi post
 
Back
Top Bottom