Sidhani kama ni swali linalo wagusa wenye ndoa peke yao na dhani ni swali kwa wote wenye mahusiano ya mapenzi, maana STD hazichagui yupi kwnye ndoa na yupi ana mahusiano tuu, nadhani tabia hujengeka kuanzia anapo kua ,sidhani kama kabla ya ndoa ulikua na tabia ya ku mcheat mpenzi wako na ukioa utaacha .
Kwa mimi, sikumbuki mara ya mwisho lini nime fanya bila ya condom ingawa sijao ila nina mahusiano na nadhani mahusiano yangu najaribu sana kumlinda naye mpenda kwani nakubali simtendei haki kwani na mcheat ,mara kwa mara ,ila huwa na hakikisha najilinda , sinywi pombe so maamuzi yangu huw ana yafanya nikiw ana akili timamu , sasa sijui kwa mtu kama mimi ningekua nakunywa pombe nakulewa sijui maamuzi yangu yangekuaje pale unapo mpata mtu mpya.