Let's be open, ni wangapi wanaotumia kondomu wakati wa tendo nje ya ndoa??

Let's be open, ni wangapi wanaotumia kondomu wakati wa tendo nje ya ndoa??

Jamani cjaoa lakin utamu wa hle ki2 kavkav ina raha yake lakini nikikumbuka wadudu navaa maana hakuna anayeaminika
 
Sidhani kama ni swali linalo wagusa wenye ndoa peke yao na dhani ni swali kwa wote wenye mahusiano ya mapenzi, maana STD hazichagui yupi kwnye ndoa na yupi ana mahusiano tuu, nadhani tabia hujengeka kuanzia anapo kua ,sidhani kama kabla ya ndoa ulikua na tabia ya ku mcheat mpenzi wako na ukioa utaacha .
Kwa mimi, sikumbuki mara ya mwisho lini nime fanya bila ya condom ingawa sijao ila nina mahusiano na nadhani mahusiano yangu najaribu sana kumlinda naye mpenda kwani nakubali simtendei haki kwani na mcheat ,mara kwa mara ,ila huwa na hakikisha najilinda , sinywi pombe so maamuzi yangu huw ana yafanya nikiw ana akili timamu , sasa sijui kwa mtu kama mimi ningekua nakunywa pombe nakulewa sijui maamuzi yangu yangekuaje pale unapo mpata mtu mpya.
 
kuuza mechi ni mpaka mkapime wote tena mara 3,suala la kusema eti ni tamu nyama nyama halina tija wala mantki,take care wajameni
 
mhhh ishantokea mm pia na kipanya changu mwanzoni tulitumia kama kawaida ila baade akadai hataki tena condom mm nkaona ana yake huyu kwanin hataki condom? nkamuuliza haogopi mimba na ukimwi akadai kama akipata mtoto itakuwa heri na akipata ukimwi tutaugua wote kumcheki machoni ashalewa hisia za ngono akili imeruka vibaya nkajua kumbe yafaa condom mwandae kabla hamjaanza kupapasana hadi kulegea.(kipana manake ni binti mdogo under 25
 
Back
Top Bottom