lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

Kiukweli Hapo mwanzoni dogo alikuwa anazingia nilikuwa simkubali kabisa, Lakini siku za karibuni dogo ameimprove mno! Na bado anayo energy na umri unaruhusu, dogo aendelee kukaza, anakuja vizuri 👏
 
Kiukweli Hapo mwanzoni dogo alikuwa anazingia nilikuwa simkubali kabisa, Lakini siku za karibuni dogo ameimprove mno! Na bado anayo energy na umri unaruhusu, dogo aendelee kukaza, anakuja vizuri 👏
amna improvement. mzize ni epileptic patient. after next year yanga watamtoa bure.
 
Kwahiyo wewe unaakili za mpira kuliko Gamondi na kocha wa Azam ukiwachanganya?

Kafie mbele huko
mpira unaonekana. na mzize hana mpira. azam wanamchukua kama disrupter wa ku press. maana wana mid field wafungaji. also they need watu wa big games mzize ni kijana na ana big games, misses nyingi ila useless.
 
Inabidi pengine mwakalebela aulizwe mana alivyokuwa na pub inbox pale kihesa sokoni ,mzize alikuwa bodaboda maeneo Yale

Usikute ndo wakala wake ,ujinga mwingi nafasi palepale
 
That's your view....Kuna jambo hujaangalia hapa

Mzize katoka mtaani huko iringa Moja kwa Moja Yanga senior team, msimu ulofata first team

Huyu mchezaji ni mzuri sema anatakiwa ajengwe zaidi kisaikolojia ana vitu kamzidi kibu
hata kibu ni street football.
 
Kibu tusisahau ana goli 1 dakika kibao na mechi kibwena kapewa ila wapi
 
Wewe ni Mama wake?
Watu wanaomfahamu mzize wanasema ni mzee. Kacheza sana Iringa, Kaendesha mpaka bodaboda. Ishu ni kuwa kaminya umri sana



View: https://www.instagram.com/p/C5VJKyWNUwS/?utm_source=ig_web_button_share_sheet


GIKhV4hXUAAM_8o.jpeg
 
Back
Top Bottom