MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
19 mzize. he looks older than me na mimi nipo late 20s kuwa seriousAna miaka 19,bado anamda wa kujifunza.
Namfanisha na Mwaikimba(akikua)
amna improvement. mzize ni epileptic patient. after next year yanga watamtoa bure.Kiukweli Hapo mwanzoni dogo alikuwa anazingia nilikuwa simkubali kabisa, Lakini siku za karibuni dogo ameimprove mno! Na bado anayo energy na umri unaruhusu, dogo aendelee kukaza, anakuja vizuri 👏
wote baba mmoja 🚮M naona mzize anatumia ata akili kidogo kibu anajua kukimbiza tu pass mbaya hajui kulenga goal chenga za kizaman Bora mzize
mpira unaonekana. na mzize hana mpira. azam wanamchukua kama disrupter wa ku press. maana wana mid field wafungaji. also they need watu wa big games mzize ni kijana na ana big games, misses nyingi ila useless.Kwahiyo wewe unaakili za mpira kuliko Gamondi na kocha wa Azam ukiwachanganya?
Kafie mbele huko
hata kibu ni street football.That's your view....Kuna jambo hujaangalia hapa
Mzize katoka mtaani huko iringa Moja kwa Moja Yanga senior team, msimu ulofata first team
Huyu mchezaji ni mzuri sema anatakiwa ajengwe zaidi kisaikolojia ana vitu kamzidi kibu
results are out . wote amna kitu
Wewe ni Mama wake?Mzize ni mzee, kacheza sana huko madaraja ya chini miaka mingi sana.
ELewa nachokisemea....Kibu katoka mbeya cityhata kibu ni street football.
Watu wanaomfahamu mzize wanasema ni mzee. Kacheza sana Iringa, Kaendesha mpaka bodaboda. Ishu ni kuwa kaminya umri sanaWewe ni Mama wake?