Let's chat

Kuwa single sio shida
Kwanini furaha yako itokee kwenye mahusiano? Kwamba yasipokuwepo unabaki na mood mbovu 24/7!!?

Hapa nilipo natafuta namna ya kumuacha mtu nakosa 😂😂
Aisee, hongera.
 
Delete kila kinachomuhusu 😂😂

Kuna mtu nilidelete mpaka namba. Siku nikammiss, weee si nikaenda tafuta namba zake katika sms za M pesa alizokuwa ananitumia hela 😂😂🙌
🤣🤣🤣
 
Aisee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…