ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nakutania bhana! Kwa mujibu ulienda?Ni true siwezi kukudanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutania bhana! Kwa mujibu ulienda?Ni true siwezi kukudanganya
2014Mwaka gani
2014 ulikua na miaka 19, 20 kumbe hujala chumvi nyingi2014
Sijaenda aisee nilivyomaliza nikapata Dili Zanzibar kwa mujibu ningeenda huko ningeishia kuzimia zimia na pengine kufaNakutania bhana! Kwa mujibu ulienda?
Umelegea sanaaSijaenda aisee nilivyomaliza nikapata Dili Zanzibar kwa mujibu ningeenda huko ningeishia kuzimia zimia na pengine kufa
2014 ulikua na miaka 19, 20 kumbe hujala chumvi nyingi
Tulipishana kidogo tu kumbe😁2014
Kule ni balaa 😎😎Umelegea sanaa
😁😂😁😁😁😁Tulipishana kidogo tu kumbe😁
Mmmh! Wewe siumemaliza 6 mwaka 22?🤔Tulipishana kidogo tu kumbe😁
Sio kweli😄Mmmh! Wewe siumemaliza 6 mwaka 22?🤔
Angalia nyota zao, ndio ujue watu hawaishi wa kubahatishaJay z na queen B wamedumu sanaa
Wao ni nyota gani kwani? Wewe huwa unaangalia nyota kabla ya kuingia kwenye mahusiano?Angalia nyota zao, ndio ujue watu hawaishi wa kubahatisha
Mbona nyota zao tofauti sasa🤔Angalia nyota zao, ndio ujue watu hawaishi wa kubahatisha