Unanivunja mbavuπ€£
Kwa niniUnanivunja mbavuπ€£
HutuliiπKwa nini
Nzuri, AsanteβΊοΈ
Nzuri sanaaβΊοΈ
ππππ
Zamani nilikua namkubali derulo
Napenda hiyo mavoko na fid q nilikua naisikiliza sana
Ngoja nichape vesi MojaNapenda hiyo mavoko na fid q nilikua naisikiliza sana
Kuimba unajua au kuandika tuNgoja nichape vesi Moja
I feel ka niko dubai tunakula nyama choma. Baby umeniweza na we. Tukaruke na magoma. Sheri motema na ngae. Kama ganja tutachoma. For real nitaondoka nawe πππππππ
Najua vyote muulize mwanangu Poor BrainKuimba unajua au kuandika tu