Let's dedicate a love song for each other

Let's dedicate a love song for each other

Tunashukuru sana, naona ndugu yetu alitaka kutuwakilisha vema, vipi hukumwambia ukweli wa moyo wako huenda angekukubali jamani😀
Alikuwa anaogopa kunipa majibu nadhani angekuwa psychologically affect na hizi emotions maana alikuwa mwimba kwaya ( she got beautiful voice) yani ukiuliza hapo chuoni unamjua flani kwamtu anayekujaga kanisani sifa ya kwanza atakuambia sauti yake, na alikuwa na kacheo flani hapo church, so alafu mimi nilikuwa kama muhun flani by physical appearance, maana sometimes huwaga ananikuta na marafiki na roll nao ni wahuni, i feel she was scared... Hiyo ilikuwa kipindi cha chuo

Ila huyo mtoto huko alipo mungu ambariki, narudia kusema tena mbeya wanawake wote wakilokolee mbarikiwe
 
🎶Mwenzenyu Mimi sijui kutongoza,wakijipitishaa namwaga Hela asanteeee,tintiri tintiri tiii🎶 goes to all mashangazi
 
Back
Top Bottom