Let's fall in LOVE

Let's fall in LOVE

watu wote ambao wapo serious walisha ni PM! bado wewe tu ambaye umeamua kufanya PRIVATE ISSUES ZIWE PUBLIC
kumbe watu washawai dah sikuwa na bahati bwana nisubiri tu aje mwingine
 
hivo vitu red sina mkuu pia nataka wa shorttime relationship


Mimi natafuta mwanamke wa shotitime awe na sifa zozote zile. Tena bebii unanifaa sana naomba uniinbox
 
Mimi natafuta mwanamke wa shotitime awe na sifa zozote zile. Tena bebii unanifaa sana naomba uniinbox
yaani nilikuwa nakutafuta kweli uliishia wapi wewe?
 
sifa zote ulizotaja ninazo ila MIMI NI MBABE VIBAYA SANA NA SIJUI KUBEMBELEZA JE NITAPATA NAFASI??
 
Warembo wa JF, natafuta mpenzi for a long lasting relationship. Mwenye sifa zifuatazo atapewa kipaumbele: Education: Above form 6 Sura: Awe na sura ya kike Rangi: Mweupe wastani Body: Awe na sex body and a bit makalio (asiwe mwembamba sana kiasi kwamba hashikiki) Tabia: Awe na tabia za kike na heshima. Any one who is lonely, living in Dar and interested to fall in true love is welcome. you can PM me!
all the best
 
Back
Top Bottom