LET'S GO SWIMMING

manengelo NikupitieπŸ˜‚πŸ˜‚
shoga..niliwah kwenda beach..nikakutana na mkaka.kama huyu...akasema anifundishe kuogelea ingawa nnajua kidg tumefika kina kikali mwenzangu kadisa zaman sana...ufukweni wapo wanangu na dadaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...yaan sitak kbs.. nikamwambia nirudishe najisikia pumu inakujaπŸ˜‚πŸ˜‚ hapo dudu lote linanichoma choma mgongoni😊😏😏😏..sitak bibi weee nenda unipe mrejeshoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Poleee mkuu kwa yaliyokukuta....nadhani ulikubali kufundishwa na mabeach boy...tena baharini wale hawana cha kupoteza wako tayari kujitoa muhanga kwa ajiri ya kubambia tu wanawake kwenye maji baharini.

Hii ni spesho offer (kampani) kwa only interested friends wa Jamiiforums inafanyika mahali salama kabisa...Kariibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚asee wahuni sio watu wazuri .
 
Special offer au sio..... Ikija part two yake nishhtue
 
mie ninazo [emoji23][emoji23] nikivaa nadamshi[emoji23]sema kina kirefu siwez
Una raha. Nimemuagiza rafiki yangu China zile za kuficha kitambi sijui zinafika lini na mwisho wa mwezi tuna pool party na rafiki zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Ningekua sio mvivu ningeenda mtaani kutafuta nikakae kwenye maji saa hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tafuta ile mitandio...unavaa na bra nyeusi unatoka tu mbon...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…