Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
na usiende mwaya atasingizia chura ndo imekuzamishaChura ndo anaogelea au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na usiende mwaya atasingizia chura ndo imekuzamishaChura ndo anaogelea au?
Ahhahah...usimtishee tafadhari yule anayeuliziaa chura hausiki katika hili zoezi....Usalama wa marafiki upo chini ya delivery man.na usiende mwaya atasingizia chura ndo imekuzamisha
shoga..niliwah kwenda beach..nikakutana na mkaka.kama huyu...akasema anifundishe kuogelea ingawa nnajua kidg tumefika kina kikali mwenzangu kadisa zaman sana...ufukweni wapo wanangu na dada😂😂😂...yaan sitak kbs.. nikamwambia nirudishe najisikia pumu inakuja😂😂 hapo dudu lote linanichoma choma mgongoni😊😏😏😏..sitak bibi weee nenda unipe mrejesho😂😂manengelo Nikupitie😂😂
Poleee mkuu kwa yaliyokukuta....nadhani ulikubali kufundishwa na mabeach boy...tena baharini wale hawana cha kupoteza wako tayari kujitoa muhanga kwa ajiri ya kubambia tu wanawake kwenye maji baharini.shoga..niliwah kwenda beach..nikakutana na mkaka.kama huyu...akasema anifundishe kuogelea ingawa nnajua kidg tumefika kina kikali mwenzangu kadisa zaman sana...ufukweni wapo wanangu na dada[emoji23][emoji23][emoji23]...yaan sitak kbs.. nikamwambia nirudishe najisikia pumu inakuja[emoji23][emoji23] hapo dudu lote linanichoma choma mgongoni[emoji4][emoji57][emoji57][emoji57]..sitak bibi weee nenda unipe mrejesho[emoji23][emoji23]
Na ndipo tutakapokuwepo mkuu...Asaante na kariibu tuwape marafiki Abc'sKama unajifunza anzia swimming usijifanye samaki kwenda baharini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu. Vipi mna ile ngazi au stage ya kuruka juu mpaka kwenye Swimming PoolNa ndipo tutakapokuwepo mkuu...Asaante na kariibu tuwape marafiki Abc's
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂asee wahuni sio watu wazuri .shoga..niliwah kwenda beach..nikakutana na mkaka.kama huyu...akasema anifundishe kuogelea ingawa nnajua kidg tumefika kina kikali mwenzangu kadisa zaman sana...ufukweni wapo wanangu na dada😂😂😂...yaan sitak kbs.. nikamwambia nirudishe najisikia pumu inakuja😂😂 hapo dudu lote linanichoma choma mgongoni😊😏😏😏..sitak bibi weee nenda unipe mrejesho😂😂
KumbeeeeKama unajifunza anzia swimming usijifanye samaki kwenda baharini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatusema weng😀😀Vizuri wafundishe kuogelea maana watu wamezoea kuchezea maji ya ugoko beach na kujisifia wanaogelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Special offer au sio..... Ikija part two yake nishhtuePoleee mkuu kwa yaliyokukuta....nadhani ulikubali kufundishwa na mabeach boy...tena baharini wale hawana cha kupoteza wako tayari kujitoa muhanga kwa ajiri ya kubambia tu wanawake kwenye maji baharini.
Hii ni spesho offer (kampani) kwa only interested friends wa Jamiiforums inafanyika mahali salama kabisa...Kariibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ah hapana kbs😂😂😂😂😂😂😂😂😂asee wahuni sio watu wazuri .
Yani hili joto linanifanya niwaze swimming toka asubuhi tatizo sina swimming costumes [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una raha. Nimemuagiza rafiki yangu China zile za kuficha kitambi sijui zinafika lini na mwisho wa mwezi tuna pool party na rafiki zangu [emoji24][emoji24][emoji24].mie ninazo [emoji23][emoji23] nikivaa nadamshi[emoji23]sema kina kirefu siwez
Una raha. Nimemuagiza rafiki yangu China zile za kuficha kitambi sijui zinafika lini na mwisho wa mwezi tuna pool party na rafiki zangu [emoji24][emoji24][emoji24].
Ningekua sio mvivu ningeenda mtaani kutafuta nikakae kwenye maji saa hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaaaa. Asantee[emoji23][emoji23][emoji23] tafuta ile mitandio...unavaa na bra nyeusi unatoka tu mbon...