LET'S GO SWIMMING

LET'S GO SWIMMING

Delivery Man

Senior Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
157
Reaction score
107
Hello Friends in Jamiiforums,
Je wapenda kujifunza kuogelea lakini hujapata kampani salama ya kukuguide ili uweze kujua kuogelea???

Nakaribisha marafiki wanaopenda kujifunza kuogelea jst for funny sio uwe pro....join me at Kijiji Beach Resort Kigamboni...leo kuanzia saa tisa jioni....Nitakufundisha hatua zote za awali za kuogelea kwa usalama kabisa and naamini by the end of the day utakuwa na uwezo mzuri wa kuelea kwenye maji na kuanza basic move.

Mara ya mwisho nimeenda pale entrance fees ilikuwa ni 15K (coupon package ambayo imeinclude swimming cost na lunch for one)

Kariibuni tufanye mazoezi kwa afya ya mwili na akili...nichek pm kama utapenda au kama utapenda kuja pasipo kutaka kureveal ur id kwangu...You are welcome ukifika reception nitaacha maagizo yoyote atakayekuja muulizia "Delivery Man" nitakuja kuitwa na nitajua you are one of us.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nkizamia huko kwenye kina kirefu si utan du bad??
Utaendaje kwenye kina kirefu rafiki wakati hata kuelea hujuii....ahahha...by the way....umeona neno usalama nimelirudia mara ngapi hapo juu rafiki?...Usiogope usalama wako ukiwa kule ni kwenye maji ni jukumu langu rafiki.. Njoo ujifunze kuogelea ni muhimu sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweka Taarifa sawa,kwa marafiki wote watakaopenda kuja tutatumia huduma za swimming pool kwenye maji safi.. hatutokua baharini hivyo usalama ni wa uhakika...Pia sitoweza kuwasaidia kwa ukaribu zaidi ya watu kumi...so first come, first to be served .....lets go n have fun friends.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time ukiweka tangazo nijulishe, kama miaka miwili jizi moja lilikwapua mkoba wa mama pale mahakama kuu baada ya manjagu kumfuatilia likatumbukia baharini na kuogelea hadi kule upande wa Kigamboni na kuacha soldiers wakiwa wameduwaa. Sikufurahia uwizi ila nilipenda uwezo ule wa kuogelea.
 
Picha tafadhali

Back
Top Bottom